N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,270 Reaction score 12,692 Jun 7, 2015 #1 Aisee hiki kinapaswa kuwa kifungua kinywa cha taifa! Ukipata supu murua kabisa ya maharage na chapati zilizopikwa kwa ustadi + kikombe cha maziwa asubuhi yako muruua kabisa. Hongera aliegundua hii breakfast..
Aisee hiki kinapaswa kuwa kifungua kinywa cha taifa! Ukipata supu murua kabisa ya maharage na chapati zilizopikwa kwa ustadi + kikombe cha maziwa asubuhi yako muruua kabisa. Hongera aliegundua hii breakfast..
almasstz Member Joined Jul 19, 2013 Posts 24 Reaction score 3 Jun 7, 2015 #2 Hiyo acha chapati na mchicha we Nazi asubuhi ni balaa zaidi