Chapati kubwa zaidi kuwahi kupikwa duniani

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,239
14,214


Hii hapa rekodi nyingine tena inawekwa na Guinness World Records mnamo October 8, 2010.

Ni katika nchi ya Uturuki. Jumla ya wapishi 50 walikusanyika kwa pamoja kuweka rekodi ya kupika chapati kubwa zaidi ya mayai yenye uzito wa tani 6.

Chapati hiyo ilichanganywa na mafuta zaidi ya Lita 400 na mayai zaidi ya Laki 1.
 
Hapo najua kuna wabongo watasema "Chapati hizo 2 namaliza!"
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…