Chapati kubwa zaidi kuwahi kupikwa duniani

View attachment 1462395

Hii hapa rekodi nyingine tena inawekwa na Guinness World Records mnamo October 8, 2010.

Ni katika nchi ya Uturuki. Jumla ya wapishi 50 walikusanyika kwa pamoja kuweka rekodi ya kupika chapati kubwa zaidi ya mayai yenye uzito wa tani 6.

Chapati hiyo ilichanganywa na mafuta zaidi ya Lita 400 na mayai zaidi ya Laki 1.
Lengo lake ni kuweka record au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom