dorcas1234
Senior Member
- Mar 13, 2012
- 116
- 34
Mwisho wa wiki nilimsindikiza rafiki yangu kariakoo alikuwa ameelekezwa na mtu kwenda kutafuta dawa yakui
toa vichunusi,sasa tulipofika hapo kumbe duka ni la mzaire mana nilisikia wakimuita papa.Baada yakuhudumiwa mara akatokea dada mmoja nikasikia anamwambia papa,nimekuja kuweka hips,nikashangaa nikamuuliza kwani huduma hiyo ipo?papa akanizodoa eti unashangaa nini?
mara dada huyo akajitoma ndani nami nikawa makini kuona nini kinaendelea jamani niliyoyashuhudia ndiyo yamenifanya niandike,papaa akachukua mabomba yasindano kan
ma yakuchoma ng'mbe akajaza dada akavua sket yake papaa akachoma kushoto na kulia kisha dada akaambiwa asubiri dkk 20,baada ya dkk hizo dada anavaa sketi haiingii mahipsi yametuna papa akamwambia sketi haiwezi pita kama vp nunua dela,nami sikukubali nikamwambia dada naomba kuhakikisha kama kweli ni yaukweli loooh!nilipogusa kama nimeshika godoro,dada akavaa dela akaishia zake na hips zake.
Nasema nyie wanaume ndiyo chanzo kwa mfano,ukiingia love connect utakuta mtu anatafuta mwenza sasa ivo vigezo mwenyewe unachoka.Mara awe na mahipsi,kijungu cha maana,na mengine mengi ambayo yanawafanya wenzetu wanahangaika kama hivyo.
Kina kaka punguzeni maharti na vigezo jamani.
NAWAKILISHA.