Chanzo ni wanaume!!!!!!!!!!!!!

ahh saaaaaaaaaaaaaaaaana tu NN...mngoni mie.....choo na mapezi ya samaki ayakosekani....ni miinuko na mapana yake:lock1:

Ahahahahahaaa umelitaja kabila lako la ukweli! Abarikiwe mzee H kwa kufyatua kitu cha ukweli.
 
chanzo si wanaume.....ni akili yako mwenyewe mwanamke....
km umelelewa vyema..maadili mema na uwoga wa mungu ukawa nao na kijielimu kdg basi nadhan vtakusaidia katika kuthk na kureason kila jambo unalotaka fanya.....

yaan ujiharibu kisa mwanaume?
MBONA AKIKWAMBIA BIBIE KALALE CHOON LEO AUEND Y?KWANINI AKIKWAMBIA MI NAPENDA UWE MWEUPE BASI FASTA MKOROGO UKO WAP....NI WEWE UNA MSIMAMO GAN NA UNATAKA NINI ..MSIWASINGIZIE WANAUME....ukiwa na msimamo na mwili wako akikwambia masuala ya kwa mchina sjui kaongeze **** kajichubue utamjibu tu baba samahani mi sina lakin kuna wadau wanayoso pls the dooor is open u just go....ntampata atakayenipenda na matakao yangu ya bat na hips zangu za mjomba.....ahh jaman sjui twaenda wap....akil za kike zazid didimia kicosmetics:scared:
.
Tripple like by SI unit.
 
mmwaaa! you sealed the deal...
 
Hili neno kuntu
 
Halafu tunalalamika hatuendelei!
Tutaendelea vipi wakati watu wanawaza ujinga muda wote?
Huyo mwanaume anayewaza mahips muda wote, na huyo mwanamke anayemsikiliza na kukimbiakimbia huku na kule kumtimizia, wote wajinga tu.Wajinga ndo waliwao!
Kuna siku watu watalishwa hadi kinyesi cha mbwa subirini! Kuna mwanaume kapikiwa nyama ya paka nyumba ndogo.Shauri zenu!
 
khaaaa dunia ina mambo
kwani lazima uolewe na wapenda hips wa bongo?
wazungu si wapo?

Smile una akili wewe! Halafu hivi wanajua madhara ya hayo masindano? Kwanini wanahatarisha maisha yao kwa ajili ya kumridhisha mtu ambaye wakati wowote anaweza kumpiga chini au kumpa talaka? Hivi wanaijuwa kansa kweli hawa?

Kwa nini kung'ang'ania wanaume wanaopenda hips wakati wao hawana hizo hips wakati tupo vijana hapa ambao tunaweza kuoa hata kama huna hips? Wanatakiwa kutafakari, na kuchukua hatua mapema, loh! Kuna watu tunaangalia tabia hata kama hips hakuna, tunaoa bila tatizo.
 
sasa kwani mimi nimesema nini ?
au aujaelewa nilichoandika?

mwite mdg wako wa std 4 atakusaidia kukuelewesha:A S-frusty2:
kwakuwa umeniona sina akili siyo? poa heri yako mwenye nyingi lakini kumbuka aliyekupa ndo kaninyima.
 
Chanzo wanaume kivipi? Kwani amepelekwa hapo kwa papa na mumewe/buzi au kaenda mwenyewe na ujinga wake?! Je umefanya utafiti na ukagundua kuwa wanaume ni chanzo? Tabia ya kutokujikubali jinsi Mungu alivyotuumba ndio inayowafanya wengi wa wakinadada kuhaha huku na kule kutaka kurekebisha sehenu moja ya mwili ama nyingine kwa kufikiri kuwa muumba aliwakosea. Ushauri kwa kina dada/mama, jiamini/jikubali vile ulivyo. Uzuri wako uko kwenye nyama tu ukiondoa nyama skeletoni yako ni ngumu kutofautisha na ya mwanaume isipokuwa kwa wataalamu tu! Wake up ladies!
 
Back
Top Bottom