Chanzo kingine cha mapato kwa serikali hiki hapa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanzo kingine cha mapato kwa serikali hiki hapa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakajila, Jun 19, 2012.

 1. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waheshimiwa wabunge wana allowance in total amounting to 5,000,000/= ambazo hazitozwi kodi...Well kwanini waheshimiwa msifikirie kutoza Kodi kwenye hizi allowance kama kweli mna nia ya kutusaidia sisi wananchi?.

  Mfano 5,000,000/= kodi yake ni 1,396,500*356(Idadi Ya wabunge)=497,154,000/= hii ni makusanyo kwa mwezi mmoja kwa mwaka Je?Waheshimiwa wabunge tunaomba mtusaidie katika hili kama kweli mna Uzalendo!!!!
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Hizo wanazolipwa wanaona haziwatoshi kwa uroho wa pesa walionao, leo uwashauri kuzipunguza!
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hizo posho zifutwe kabisa!
   
 4. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapo kila mbunge atakuwa bubu
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hapa umenena
   
 6. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Hivi kwanini wengine tulipe PAYE (almost 30%) na wao wasamehewe!
  Watz tuache kunywa pombe, vinywaji baridi na kuvuta fegi tuone kama wataendelea kuwapa posho bila ya makato.
   
Loading...