Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,520
- 4,202
Maandamano ni yataendelea sababu
Maandamano ni ya wananchi wa Ufaransa wenyewe
Kudai ni wageni ni sio kweli
Wanafunzi wanalalamika Walimu wachache Mashuleni
Na Walimu wanadai vitendea kazi hakuna
Wanafundisha Wanafunzi wengi sana !!!!
Kwanzia jana kundi jipya limeingia kuandamana kwasasa ndio Fujo lazima zitokee!!!!
Wazungu wenyewe ndio Vinara wa Maandamano
Kama kudai waislamu kuwa wengi pale pale Ujerumani Uholanzi pia kuna Waislamu wengi lkn kumetulia kabisa
Hakuna picha Makanisa yakichomwa MOTO
Lkn tukumbuke WAZUNGU kwasasa hawapendi kwenda Makanisani
Ukiyakuta Makanisa yapo tupu mengine matumizi Yamebadilka nasasa kuko ivyo!!
Serikali zao za Ulaya wanapinga kuanzishwa Misikiti!!! !!!
Mwanzo yalikuwa ya wananchi kweli ila wageni hii fursa walikuwa wanaisubiri kwa mda sana na imetokea ndo
Mwanzo yalikuwa ni wananchi kweli ila kwa sasa wananchi wa Ufaransa wamejitoa wamebaki wageni na ndo vurugu wanazozifanya
Kusema wazungu hawapendi kwenda kanisani hiyo sio sababu ya wewe kuchoma makanisa
Huko Uholanzi na kwingineko sasa hivi kuna vuguvugu mda si mrefu kunanuka
Nimekuuliza hapa wewe una akili kushinda Dominick??Mnaokoteza mashudu jp kwenye makanisa yenu ya kuruka ruka kama fisi pori
Ujinga wao wakiona Bendera ya Palestine juu wanadhani ni Waarabu ndio wamebeba !!!Kudai ni wageni sio kweli. Hayo mambo ya kiafrika, kila tatizo kusingizia watu wengine. Kikulacho ki nguoni mwako. Wapambane na hali yao
Chanzo kikuu ni uvamizi wa nchi za Kiislamu kama Iraq, Afghanistan, Syria, libyaNchi ya Ufaransa inapitia kipindi kigumu sana wakati huu ambapo waandamanaji wanazidi kufanya kila aina ya uhalifu
Kwanza turudi nyuma mwaka 2024 bunge la Ulaya lilipoazimia kupitisha Sera ya wahamiaji na wakimbizi kutoka mataifa mbalimbali na lengo la kupitisha hii sheria ilikuwa ni kibinadamu zaidi lakini huu ndo mwiba unaowatesa hivi leo
Lakini katika hilo Bunge kuna nchi zilipinga sana na kulikemea hili na nchi hiyo ni Poland na Slovakia, ila Poland ilikuwa mstari wa mbele ikiwakilishwa na mbunge Dominick Tarczynski, huyu jamaa ni genius balaa na anakuchana bila ya kukuonea haya
Basi wenye kuanza kuruhusu wahamiaji na wakimbizi waliruhusu na wahamiaji wengi walitoka kwenye nchi za Kiarabu yaani Afrika kaskazini na Middle East hapa ndipo kosa kubwa lililofanywa huku wakiwasema Poland na wenzake kwamba ni ma-racists ila hawakujali
2026 wanafunzi wa kiFaransa na wageni wameanza kuandamana tena kwa nia njema tu na bila kufanya uhalifu wowote ule sasa Kadri siku zinazidi kwenda wenyeji wanashangaa mbona kama imekuwa kwenye hii hali na hatujawahi kufika huku
☆Picha linaanza waandamanaji wanaandamana wakiwa na bendera za nchi zao za asili yani utakuta huyu ana bendera ya Algeria huyu Morroco huyu Palestina na kadhalika
☆Jamaa wanavunja maduka ya watu haijawahi tokea yani wanaiba wazi wazi
☆Mpaka sasa makanisa 22 yamechomwa ila hakuna msikiti wowote ule uliochomwa
☆Leo nimeona kuna ki clip jamaa wanasema let's kill Police in the name of allah Daan mpakaa nimeshangaa asee
☆Mtu akichoma mali anasema allah akbar
Turudi kwa huyu jamaa Dominick Tarczynski, huyu jamaa ana msemo wake sasa sijui ni wake au wa nchi yake ni kwamba LEARN FROM POLAND, BE LIKE POLAND na kila interview anayofanya anakwambia ukikaribia boarder ya Poland usije ukailaumu nchi yake maana utakacho kutana nacho sijui , na hivi karibuni kuna mlinzi wa boarder wa Poland aliuliwa na wahamiaji nchi yake ikapitisha sheria ya kutumia live bullets kwa hiyo boarder za Poland ni za moto kwa wahamiaji mno
Juzi aliingia mtaani mjini Cracow akaanza ku-compare hapo na Paris huku akisema hapa ni patilivu sababu hakuna wahamiaji na hapa kuna utofauti mkubwa na states za France ni kama alikuwa anawa mock ila ndo ulikuwa ukweli
Ukifatilia nchi ya Poland na Slovakia kwakweli zimetulia tofauti na Western Europe na wamesema watalinda culture zao kwa nguvu zote ukiwemo Ukristo
Sasa hawa jamaa Waarabu wakiwa kwenye nchi zao wanabanwa kwelikweli wakija Ulaya kwa sababu kuna uhuru basi wanajiamlia mambo ila kingine kwenye haya maandamano shida nyingine ni dini ya Kiislamu sababu ya kutaka kutake over hili hata Trump kalisema juzi yani haiwezekani unachoma makanisa kwenye nchi yenye tamaduni za kikristo halafu misikiti hamna hata mmoja
Na hili ni swala la muda tu kila aliyeruhusu hawa jamaa atafikiwa tu yaani Eastern Europe yani Great Britain, Germany na wenzake suluhisho wanatakiwa kuderpotiwa warudi kwao la sivyo ngoma ndo imeanza maana sasa hivi
*Ubakaji umekuwa katika high rate sababu ya hawa jama
*Uhalifu umeongezeka mno
Huyu ni Trump👇👇 ila pia nimekuwekea video za Mwanaume Dominick
Huyo Dominick anakwambia kama wanataka maisha mazuri waende Qatar au Saudia huyu jamaa kama ana make flani hivi
View attachment 3693844
View attachment 3693845
View attachment 3693845
View attachment 3693847
Macron ametangaza vita kwa hio labda wamezima Internet na kuanza kuwapiga za kichwaMda huu Ufaransa imetangaza marufuku ya kutotoka nje kama kwetu tu Oct 29 sasa sijui wao watafanya nini
Uislamu ni upumbavu lazima uchukiwe na kupigwa vita ...na huu ndiyo mwanzo mpya ...waislamu sasa mnakwenda kupewa jina kamili .... sasa hivi dunia inskwenda kumtambua muislamu na Uislamu kuwa ni chukizo kamili...shikeni haya maneno yangu.Acheni chuki dhidi ya Uislamu. Hakuna nchi ya kiislamu iloivamia nchi ya kikristo. Kula siku ni wakristo ndio wanaovamia waislamu. Marekani kavamia Afghanistan, Iraq, Iran , Libya, Somalia , Palestine, huko kote kaacha mauaji na mateso ya kutisha. Punguza ushoga bwabwa ww
Muislamu Samia aku Pigiwa kura hata na mikoa yenye waislamu kwa asilimia 80% tumbie kwa nini ?..SAMIA HAKUBALIKI NA YOYOTE ISIPOKUWA WASHENZI WACHACHE WAKIWEMO MASHEKH..HUU UKWELI HSTA HAO MASHEKH WAMESHA UJUA KWA KUONA NAMNA WATU WALIVYO KATAA KUPIGA KURA 2025, HATA KWENYE MIKOA YENYE WAISLAMU WENGI..Waoneni wafadhili wa vita hata huku bongo kanisa lilifadhili ile oktoba na likashindwa , mnavyolazimisha. Siku moja muache nchi za watu tena muondoke , ondooeni na bidhaa zenu , fungeni vyombo vyenu vya habari na hata kusiwepo kwa ushirikiano tena ..Mbona mpo sana huko , mnazunguka ila mtu akija kwenu mnamuita mhamiaji .
Mafuta mnategemea kwa waarabu kama vip sitisheni uhusiano tu kama mnaweza.
🚮 kujadili na mlokole ni kupoteza mdaNimekuuliza hapa wewe una akili kushinda Dominick??
Nchi pekee barani ulaya yenye utulivu na hio strategy ndo imewasaidia mpaka sasa
Usiseme naokoteza hiyo ya kufanya uhalifu na kusema allah akbar humanisha nini
Johnson Lwiva Nguruwe , wangefunga mipaka kwanza na wao wakaondoka nchi za watu ..Nyi nguruwe mnatuma mpaka majeshi ili kulazimisha demokrasia ya ushoga katika nchi za wengine, fungeni mipaka na nyie muondoke ..kama vidume ni vipi vita ya mashariki ya kati inawaathiri ; kila kitu kimepanda bei kwa hiyo mnategemea waarabu sio mpaka huko kwa mume wako USA vitu vimepanda bei .Muislamu Samia aku Pigiwa kura hata na mikoa yenye waislamu kwa asilimia 80% tumbie kwa nini ?..SAMIA HAKUBALIKI NA YOYOTE ISIPOKUWA WASHENZI WACHACHE WAKIWEMO MASHEKH..HUU UKWELI HSTA HAO MASHEKH WAMESHA UJUA KWA KUONA NAMNA WATU WALIVYO KATAA KUPIGA KURA 2025, HATA KWENYE MIKOA YENYE WAISLAMU WENGI..
Kwa hiyo unabisha niliyo kuambia kuwa Samia akupigiwa kura na hata na waislamu wenzieJohnson Lwiva Nguruwe , wangefunga mipaka kwanza na wao wakaondoka nchi za watu ..Nyi nguruwe mnatuma mpaka majeshi ili kulazimisha demokrasia ya ushoga katika nchi za wengine, fungeni mipaka na nyie muondoke ..kama vidume ni vipi vita ya mashariki ya kati inawaathiri ; kila kitu kimepanda bei kwa hiyo mnategemea waarabu sio mpaka huko kwa mume wako USA vitu vimepanda bei .
Najua hamuwezi kukata uhusiano , mtakufa njaa.
Waislamu binafsi ,hatawaki kabisa serikali zao kushirikikiana na Nyie ..Fungeni mipaka na kule middle east muondoke ..Toeni makampuni yenu yote na majeshi 🤣🤣🧌Kwa hiyo unabisha niliyo kuambia kuwa Samia akupigiwa kura na hata na waislamu wenzie