Chanzo cha watu kulala Ibadani ni nini?

baliyanga

Member
Joined
Oct 9, 2026
Posts
11
Reaction score
11
1. Either watu wanaenda kutimiza wajibu

2. Waumini wanachoshwa na hotuba.

3. Mambo yanayozungumziwa wameyazoea.

4. Baadhi ya wahubiri wanakosa kuleta reference za mambo yaliyo kwenye vitabu na maisha halisi na mifano ya hivi sasa

5. Chambua
 
Kusinzia kanisani ni uzembe wa mtu binafsi...

Kama anajua yuko ibadani atafanya kila linalowezekana aache kusinzia....
Japokuwa kuna usingizi mwingine sio wa kawaida mkuu, unahitaji maombi.

Yani ukifika mda wa hotuba tu macho yanakuwa mazito, ila kama ukikabiliananayo hiyo hali inaondoka!
 
1. Either watu wanaenda kutimiza wajibu
2. Waumini wanachoshwa na hotuba.
3. Mambo yanayozungumziwa wameyazoea.
4. Baadhi ya wahubiri wanakosa kuleta reference za mambo yaliyo kwenye vitabu na maisha halisi na mifano ya hivi sasa
5. Chambua
Mafundisho hayana mvuto, watu wamelala Jan kwenye ulabu na wengine wamechoka kazi za wiki nzima
 
Hawa watu nilishawapiga bit sitaki mtu asinzie na kulala ibadani nitamtaja na kumsimamisha ajionyooshe mpaka usingizi uishe
 
Nimesoma uzi wako kwa harakaharaka lakini hadi nimepata swali lingine kuna wale watu wanaendaga kushinda na kulala kanisani madhehebunya kilokole wanao sali kwa kupiga makelele shida huwa ni nini?

Wale Sababu zao mostly huwa ni hizi.
1. Watu ni homeless hawana kwa kukaa, hawana kwa kulala,
2. Watu hawana kazi za kufanya, hawana sehemu ya kwenda kushinda.
3. 2 na 3 zinaendana na watu kuwa wavivu, kuto penda kufanya kazi kunapelekea wapende kuwa wapeenda kitonga
4. Kusubiri miujiza ilete matokeo badala ya kufanya kazi kupata matokeo.
5. Imani za kishirikina kutawala akilini kwa mtu, anahisi analogwa mda wote, anahisi nyota yake imekaliwa na wachawi, anahisi mambo yake hayaendi sababu anachezewa.
6. Stress za mapenzi kwa wanawake hasa, sambamba na na kukosa mume au kukosa mtoto
 
Waondoe mabenchi watu wakae sakafuni hiyo hali itaisha yenyewe! Pale wameenda kuabudu au kukalia viti?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…