Mazingira mabovu
Uonevu wa wanafunzi
Ukari wa waalimu
Adhabu zisizo na maana
Kutofundishwa vizuri
Wazazi kutofatilia watoto wao
Wazazi kutowaambia watoto wao nini wanatakiwa fanya
Watoto kutojielewa na kujua nini wanataka
Mazingira magumu ya nyumbani
Umbali wa shule