Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
hilo nalo neno tatizoTID anahitaji ushauri nasaha.
Inasikitisha Tanzania tusivyothamini talent zetu anyway silaumu ni tabia ya watanzania wengi kuwa na miwivu ya kijinga
wanasema ukiona mtu ananenwa vibaya na kila mtu, basi jua ana tatizo.TID hashauriki, kijana amelewa sifa, na ujinga wake huo ndiyo uliompeleka Jela. Badilika kijana.