Chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,528
Wanawake wanakosa uvumilivu kwenye ndoa, wanatamaa, wanataka mapenzi ya kifilipino wakati wakijua wapo Afrika, wajuaji, wanajali pesa kuliko mapenzi.
sasa sijui mama zetu wangekuwa kama hawa wengi tungeishia kulelewa na mama wa kambo
badilikeni igeni toka kwa mama zenu.
 
Ni ngumu kuwarudisha tena enzi za radio moja (RTD), kikubwa ni wewe kubadilika ili kwenda sambamba na beats!! Tafuta pesa kwa bidii ili usiwe bahili kuhonga, jua kupenda, sometimes hutawapata bila uwongo kidogo na mengineyo mengi.

Kulalamika huku kunatokana na kuwa huna kisu so wenye nacho wameshakata nyama yako bila shaka!!

Waige kwa kina mama wepi ilhali wamama wa siku hizi wanajiita mashugamami na wako sambamba na watoto wao wa wakike kufukuzia viserengeti boyz??
 
jiulize wa zamani hakuna walioachika au kuzaa tofauti?hakuna jipya chini ya jua.
 
Wanawake wengi ni wavumilivu BT huwa siku akichoka vituko vyako na karaha zako bhaas jua anaweza kukuambia au kufanya jambo ambalo litakuumiza maisha yako milele.

Chanzo cha ndoa kuvunjika ni watu kutokufanya majukumu yao.both sides mkuu.
 
Umenenaa
 
Dawa yao ni moja tu...mpe mambo ( muinue miguu) ya kutosha...hatadai pesa. Atakutumia nauli hata kama upo bukoba ...yeye yupo dar, ili ukamuinue miguu na kumpa ile kitu inayomezwa na mwenzie
 
Wa kwangu kanivumilia sana mpaka huwa naona aibu na huwa nashangaa aliwezaje kuvumilia takataka zote nilizokuwa nafanya. Mleta uzi kwa hili unawasingizia labda michepuko.

yaani kuna namna tumeumbwa sisi viumbe... ila siku hizi umeacha kufanya hizo "takataka"
 
Kama tunapima kwa kilo asee wamama wanatushinda kwa wema na ukarimu pia!!!!!!

Wako wachache vimeo ila kwa ujumla sie wanaume wengi tuna madudu hata shetani sa nyingine anaogopa!!!!!!
 
Hivi kiukweliiii kati ya mwanamke na mwanaume nani mvumilivu??..acheni kutusingizia jmn,huwa mnavumiliwa maudhi mengi sana,
 
Kama tunapima kwa kilo asee wamama wanatushinda kwa wema na ukarimu pia!!!!!!

Wako wachache vimeo ila kwa ujumla sie wanaume wengi tuna madudu hata shetani sa nyingine anaogopa!!!!!!

Bora useme tu mkuu
Wanawake wengi wavumilivu sana .hat kama moyo unavuja damu ataonesha tabasamu usoni
Ni % ndogo ndo ya wanawake ndo vimeo
 
Wanawake wanakosa uvumilivu kwenye ndoa, wanatamaa, wanataka mapenzi ya kifilipino wakati wakijua wapo Afrika, wajuaji, wanajali pesa kuliko mapenzi.
sasa sijui mama zetu wangekuwa kama hawa wengi tungeishia kulelewa na mama wa kambo
badilikeni igeni toka kwa mama zenu.

Hazo Mambo ya kizamani Siku Hizi Jinsia Moja ndio Mpango Mzima...
 
Bora useme tu mkuu
Wanawake wengi wavumilivu sana .hat kama moyo unavuja damu ataonesha tabasamu usoni
Ni % ndogo ndo ya wanawake ndo vimeo

Kabisa kabisa mimi nakiri yaani kama mke wangu tangu enzi za uchumba mpaka namaliza ujana wangu aliyovumilia sijui kama mie ningeweza!!!!!
 
Back
Top Bottom