Chanzo cha kuku wa kizungu (broilers) ni nini?

Chanzo cha kuku wa kizungu (broilers) ni nini?

MRSH

Senior Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
104
Reaction score
21
Jamani wana JF naomba kujuzwa source ya hawa kuku wa kisasa. Je Ni mayai kweli?Kama Ni mayai yanatagwa Na kuku gani?Nimekuwa nikifikiria hili suala bila ya majibu ya uhakika.Wenye ufahamu Na Hilo please..
 
watakuwa wanakong'otolewa na mashine na si kuku maana nilikuta Goms vipande vya kuku wa wiki 5 ni kama vya bata wa miaka 2 mpaka vinatisha kuvila.
 
watakuwa wanakong'otolewa na mashine na si kuku maana nilikuta Goms vipande vya kuku wa wiki 5 ni kama vya bata wa miaka 2 mpaka vinatisha kuvila.
hiyo ndo shaka yangu kubwa.Tatizo Na sisi huwa tunakimbilia Sana hizi nyama bila kujua undani wake.Utakuta kuku anachinjwa lakini bado anatoa sauti ya kifaranga. Je kibaolojia hii ipoje?Maana kile Ni kiumbe hai Na Ni lazima kiumbwe kwa nguvu za pande zote mbili Ili uwepo uhai(yaani Male and female).Cha kushangaza wale kuku huwa hawajulishi Ni jinsia gani.Yaani bado Ni vululuvululu Tu.
 
Utasikia wameenguliwa Na mashine, sasa hiyo mashine inaengua mayai yapi au inaengua nini?Je inaweza kuwa haya mayai ya kizungu?Lakini mh!!
 
haya makuku sio mazuri kwa kula binadamu mi huwa nawapaga mbwa wangu kama nawe unakula basi we ni mmoja wa mbwa wangu
 
Ni mayai ya kawaida tu ya aina hiyo hiyo ya kuku . huwa wanatengwa Kwa ajili kupata vifaranga. pia hao Wa nyama unaweza wacross na kuku Wa kienyeji na wakaadopt kabisa. nimeshawahi kujaribu kuwafuga kienyeji.
 
haya makuku sio mazuri kwa kula binadamu mi huwa nawapaga mbwa wangu kama nawe unakula basi we ni mmoja wa mbwa wangu

Ndo mana mbwa koko Ni wengi mtaani,wewe kumbe ndo chanzo.Hebu jaribu pia kumfikiria hata huyo mbwa wako unayempa hayo mauchafu.Lengo kubwa la thread hii Ni kuonyesha athari ya haya makuku ambayo hayajulikani chanzo chake.Ki ukweli Si ya kuyala kabisaa..
 
acheni kutuharibia biashara zetu mnachunguza nn sasa.. Fanyeni utafiti wa kisomi na muweke konclussion siyo kulalamalalama pasipo sababu za msingi ..!
 
acheni kutuharibia biashara zetu mnachunguza nn sasa.. Fanyeni utafiti wa kisomi na muweke konclussion siyo kulalamalalama pasipo sababu za msingi ..!

Usikatae mkuu wana hormone ambazo zina madhara kwa binadamu. Tatizo lako unadhamini kitoweo kuliko uzima
 
Jaribuni kuumiza vichwa na kusoma sio kila kitu unakuja kulalamika hapa. Wale kuku ni aina tu na wanazaliwa baada ya kukutana kuku jike na dume. Huwezi tengeneza kiumbe hai bila muunganiko wa kibaiolojia ambao ni kujamiiana. Mtoa mada unaonesha huko shallow sana kielimu
 
kiukwel hawa ni kuku wa miujuza ,kuku with no sourse!kulen nyama na mayai muone mnapoua piston zenu na hatimae ufalme wa sita kwa sita wakafaid wengne wasiokula
 
Kwani kuku wa nyama asili yake ni nini? Hawajawahi kuwa na mayai? Hawatokei kwenye mayai? Je mayai yao hayaliwi? Kama wanatokea kwenye mayai,kwa nini tu wasiitwe pia kuku wa mayai?
 
Rapherl wale huwa wanatengwa baadhi Kwa ajili ya kupata vifaranga. Kumbuka huwezi pata vifaranga bila mayai kurutubishwa. Kuhusu kuanguliwa na mashine si tatizo Kwa sababu Haya mayai ya kuku Wa kienyeji waweza angulisha Kwa mashine pia.
 
Endeleeni kuwa na imani potofu ili wasipande bei. Sisi walaji tuendelee kuwapata kwa bei nzuri...
 
hiyo ndo shaka yangu kubwa.Tatizo Na sisi huwa tunakimbilia Sana hizi nyama bila kujua undani wake.Utakuta kuku anachinjwa lakini bado anatoa sauti ya kifaranga. Je kibaolojia hii ipoje?Maana kile Ni kiumbe hai Na Ni lazima kiumbwe kwa nguvu za pande zote mbili Ili uwepo uhai(yaani Male and female).Cha kushangaza wale kuku huwa hawajulishi Ni jinsia gani.Yaani bado Ni vululuvululu Tu.

Siyo kweli, wewe unataaluma gani?, una uhakika kuwa ni jinsia moja?
 
Back
Top Bottom