sasa wana ndoa washindwe wenyewe kunusuru ndoa zao kitchen party hadi mtandaoni
kwa hiyo unataka ndoa zidumu kama jiwe?. Mi ckubali kung'ang'ana kama jiwe. Lazima ubadiri radha.
kwa hiyo unataka ndoa zidumu kama jiwe?. Mi ckubali kung'ang'ana kama jiwe. Lazima ubadiri radha.
Everyone wants to be on top of the other mwanaume anataka awe juu ya mwanamke and at the same time mwanamke naye anataka awe na say juu ya mume waje
kwa hiyo unataka ndoa zidumu kama jiwe?. Mi ckubali kung'ang'ana kama jiwe. Lazima ubadiri radha.
Mkinuniana ndo poa inapunguza ugomvi ndani
nachokijua mimi kununa siyo suluhisho,ni vema kuvunja ukimya mkamaliza tofauti kisha mkasongesha ndoa yenu mbele katika hali ya upendo na amani. bimafsi naweza kuhama nyumba kwa kununiwa.Hivi wadau hii imekaa vipi? Utakuta wapenzi au wanandoa wamenuniana hawaongei hata kwa wiki au miezi. Je hii ni aina ya tafakari ili kuchuja makosa yaliyotokea? Naomba mitazamo yenu