Chanzo cha Kifo cha Dr. Sengondo Mvungi

Kwa jicho la kawaida tu, haya yatakua mauaji ya kisasi au ya kumnyamazisha kuhusu jambo fulani kwakua habari za awali zinasema wauwaji hao hawakuiba kitu chochote
 
Chanzo cha kifo ni ugonjwa aliokuwa nao wakati akiwa matibabuni madaktari walishindwa kuokoa maisha yake japo walipigania mpaka dakika ya mwisho..

Naomba jf waifunge hii thread kwa heshima
True walahi
 
Hivi mkuu kujadili hao wasomi uchwara aliowataja Gudume kunahitaji uwe umefika hata la saba? Yaani km inafika sehemu mtu wa level ya Prof au PhD holder anaonesha uzwazwa hadi wananchi wa chini kabisa wanaona,halafu wewe unataka kumuwekea immunity kisa ana mavyeti yake ya kukaa sandukuni afu kichwani kajaza tope!! Hebu jiheshimu mkuu.
 
Halafu kinachozuiwa ni kumtahini mtu anayekuzidi elimu sio kumjadili.
 
Anayejua haswaa alichoratibu na kumfanyia Sengodo Mvungi ni Waziri aliyetumbuliwa M N kwa kutumia vijana wake.

Sengodo Mvungi ndiye kichwa aliyekuwa muandaaji wa nyaraka zote za kuhusu katiba pendekezwa ya wananchi akimsikiliza Warioba.

Na damu ya Mvungi inamtesa sana.
 
Mimi namukumbuka alikuwa mtu mzuri na munyenyekevu.Ingawa wanasema mawazo ya katiba mpya ni ya Katiba ya Warioba lakini huyu ndie aliyebobea katika ku i polish katiba hiyo iliyotupwa nawasiopenda mabadiliko wanapenda ku maintain status quo.Ilisikitika kupoteza marehemu ADRIAN MVUNGI Mwenyezi Mungu akupe raha ya milele Amina
 
Chanzo cha kifo ni ugonjwa aliokuwa nao wakati akiwa matibabuni madaktari walishindwa kuokoa maisha yake japo walipigania mpaka dakika ya mwisho..

Naomba jf waifunge hii thread kwa heshima
Wewe ni mpuuzi wa Mwisho mtu avamiwe na majambazi wampige leo we unasema ugonjwa aliokua nao? Unaweza sema alikua na ugonjwa gani? Kaa kimya kama huelewi
 
Inawezekana kuna kitu amefanywa. Akili yake si ya kawaida.atakuwa na tatizo kiakili... Siyo bure. Watanzania tusipowakumbuka waliopigania taifa,tusipowaunga mkono tutabak na watu wa hovyo hovyo sana hapa nchini.
Kweli Mkuu,Tuwe na utaratibu wa kuweka kumbukumbu za mashujaa wetu na kuwaenzi
 
Wacha uongo !!!!
Chanzo cha kifo ni ugonjwa aliokuwa nao wakati akiwa matibabuni madaktari walishindwa kuokoa maisha yake japo walipigania mpaka dakika ya mwisho..

Naomba jf waifunge hii thread kwa heshima
 
Umekosea sana. Hata Msukuma ambaye ni darasa la saba anayo haki, na wala halazimishwi kupita mbali, asizungumzie ujinga wa maprofesa wa kongamano!
 
mkuu nimekuelewa maprofessa wetu wengi njaa mfano awamu ya 4 walkua wanapiga kelele kuhusu katiba mpya juzi kwenye kongamano wakamsifia mkuu kuhusu kusitisha katiba mpya dokta mvungi Mola ampumzishe salama
 
Historia za watu kama hawa ni lazima zihifadhiwe kwa kizazi kijacho kama kweli tunataka kujenga Taifa la maana.
 
Yaani ulivyotaja Lipumba, Baba na sijui Mkumbo nimeacha kula kwa kichefuchefu. R.I.P Mashujaa wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…