Chanzo cha Kifo cha Dr. Sengondo Mvungi

Kwakweli Phd kama za Bana,Lipumba,Kitila et al lazima kudadisiwa.
Ni wanazuoni waliozikana taaluma zao.Wameamua kutii njaa zao na kusaliti kile walichokiamini.
Wewe phd ya kwako haina shida,usihofu
 
Dr. Mvungi alikuwa critical thinker,katika mchakato wa katiba Mpya alikuwa na revolutionary ideas nyingi na ambazo kwa kiasi hazikuendana na matakwa ya watawala na wenzake.Kwa mujibu wa fununu,kuna aina fulani ya maoni ya msingi sana ambayo hayakuingia katika rasimu ya Warioba ambayo kuna siku wajumbe wa tume watayaweka wazi.Maoni haya inasemekana yangebadilisha muonekano na muelekeo wa taifa letu.
 
Mbona kama umepaniki? Jamaa hajasema anaponda watu wenye phd mbona amewapongeza wengine? Mkuu uwe unasoma unaelewa

 
Kuna mawili. Inawezekana
1. Akili yako inashindwa kupambanua mambo
2. Una tatizo la kuelewa hata kitu chepesi sana.


Kwanza hujui elimu yangu na sina haja ya kukwambia ili nikuaminishe.dr. mvungi aliwahi nifundisha, marehem chachage aliwahi ni fundisha. Prof Kabudi aliwahi nifundisha. Dr. Bashiru aliwahi nifundisha.

Well. Naweza kuwa na elimu ya darasa la saba.sikatai lakini nikawa nimeelimika kuliko mwenye phd. Elimu si makaratasi au vyeti. Nyerere hakuwa na phd, socrates hakuwa na phd,bill gates hana phd,

Naheshimu watu waliosoma wakaelimika na kutumia elimu yao kwa manufaa ya taifa. Sasa sijajua wewe inakuaje umeshindwa elewa lugha nyepesi kama hii ukarukia hitimisho kondefu kama hilo



 
Hakuna faida ya elimu kama ya Bana, ni total loss!

Mungu warehem wote na uwaangamize watesi wao kwa njia utakayochagua wewe
 
Matakwa ya chama fulani
 
Yaaani hao waliobaki ni ushuzi tupu
 
Pr- B. Bana / Pr- Lipumba
Pr- K. Mkumbo
Umewataja umeniharibia siku hivi inawezekanaje mtu msomi akawa wa ajabuajabu kama hawa mzigo kwa Taifa.
 
Mimi namkumbuka kama mwanasiasa na sio mwanazuoni
Uko sawa, kwa vile hukusoma na ulikuwa unamfahamu kupitia mikutano ya NCCR basis lazima umjue kama mwanasiasa.
Lakini kwa wasomi walio ona maandiko yake, mafundisho yake na mambo mengine academically watamuona mwanazuoni.
Ila jingalao unajitahidi sana kuitetea ccm, ungetumia nguvu hizo kujiendeleza elimu ya watu wazima ungefika mbali. Hilo li ccm ni kama kahaba gubegube hata libakwe na watu 10 linyewe linawacheka tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…