Dr. Bana ndio baba lao. Lazima upate kichefu chefu akiongea.Huyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye ali elimika na si kuishia kuwa na vyeti.
Alifariki South Africa akiwa matibabuni.kifo chake kinahusishwa kwa ukaribu sana na mchakato wa Katiba Mpya. JAMIIFORUMS ni sehemu tuna thubutu kuzungumza.
Nini kilikuwa chanzo halisi, sababu ya kifo cha mwanasheria huyu Dr. S. Mvungi? Je mnakumbuka wasomi wangapi walioamini katika Elimu walikufa kwa sababu ya Kupigania Taifa hili? Mnamkumbuka Dr. J. Mwaikusa? Aliyepigwa risasi?
Tusipo waenzi hawa Tanzania itabakia na watu kama akina Dr. Bana, Prof. Lipumba, Prof. Kitila Mkumbo etc. Ambao ni mzigo na hasara kwa Taifa.
Dr.Bana ndio baba lao. Lazima upate kichefu chefu akiongea.
Mimi namkumbuka kama mwanasiasa na sio mwanazuoni
Mkuu umenena..Dr.Bana ndio baba lao. Lazima upate kichefu chefu akiongea.
Kwa kweli mnaponikumbusha kuhusu Dr. Bana napata hasira kwa hasara ya kodi za wananchi zilizotumika kumsomesha mpaka PHD.Inawezekana kuna kitu amefanywa. Akili yake si ya kawaida.atakuwa na tatizo kiakili... Siyo bure. Watanzania tusipowakumbuka waliopigania taifa,tusipowaunga mkono tutabak na watu wa hovyo hovyo sana hapa nchini.
Almanusura wamuunganishe na Lissu. Mungu mkubwa yote yaliyofanywa uvunguni kuna siku isiyokuwa na jina yatakuwa mezani juuMoyo wangu unalia Hayati mvungi,Hayati chachage,Hayati mwakusa nawapenda sana
Njoo nikubadilishie faranga ndugu yangu.Napita Rusumo wajameni natokea Kigali dakika chache Chai ya Moto Kahama mwisho wa safari yangu itakua Mbezi Beach
Njoo nikubadilishie faranga ndugu yangu.
Napita Rusumo wajameni natokea Kigali dakika chache Chai ya Moto Kahama mwisho wa safari yangu itakua Mbezi Beach
Sasa kama wewe ni mjinga na hutaki kuelimika utagraduate kutokea ujinga hadi upumbavuMimi namkumbuka kama mwanasiasa na sio mwanazuoni