Chanzo cha kifo cha billionea Erasto Msuya chabainika

Chanzo cha kifo cha billionea Erasto Msuya chabainika

USCHEZE NA WATU WA KASKAZINI BANA! ILE NI JAMHURI NYINGINE.KWANZA WANA HELA NA UKIZUBAA WANAKUCHINJA. KWA UBABE NDIYO USISEME KWANZA MAKABILA YA KULE NOMA!(kurya,meru,sonjo,masai,barbaegh,chaga nk)HAWA WATU WANA ITKADI KALI SANA.
Yes umesema kweli,sisi tunajua kunyofoa roho za maadui zetu kama kumenya ndizi mbivu,BTW ,SASA UNAINGIA MKOA WA MARA KWA AKINA MARWA,UHOIRE SABHOKE TATII ISABHOKEE TATII ISAKARABHOKE.
 
Hebu tufungulieni hii Habari mbona utajiri huu unatisha? yaani kuanzia Mazishi mpka Kesi ni dada mtu wanfuatilia huyo Mke yuko wapi jamani, MUNGU hapendi
VVVVVVVVV.jpg


Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjarao jana ambapo walishuhuduia watuhumiwa wa mauaji ya baba yao wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu mkazi Munga Sabuni na
Lala salama baba
 
Preta ntakupeleka kisiwa cha Mafia ukapate suntan au vipi? acha habari za kuwajua.

Hii sio Mafia kisiwa bana.......Ni mafia wale wengine......
Suntan nimeshapata tayari Lanzarote.......nipo mwaaaaa......
 
Hii sio Mafia kisiwa bana.......Ni mafia wale wengine......
Suntan nimeshapata tayari Lanzarote.......nipo mwaaaaa......
Haya basi mimi sitii neno ila kumbuka ndege mjanja hunaswa na tundu bovu au vipi?,sasa tulia time will tell,.,..,.maana hamna namna lazima utaliwa tu nasema tena lazima upewe pipi mti ya machungwa maana tumechoka haha haa.
 
Hivi ile kesi imeishia wapi?wakina sharifu wamekwisha mwaga hela...
 
Huyo hawajui.. Mafia, hiyo mission angeitekeleza mafia kamwe wasinge kuja kujua alie tekeleza hayo mauaji.
Tatizo watu wengi hamjui maana ya mafia humu...nitakuja na uzi wa mafia ndo mjue mafia ni nini..mafia imekuwa ni kivumishi..kisifa..(organized crime)hata marekani kuna Italian mafia,Russian mafia,Chinese mafia...ajabu ni nini kuwa na Tanzanian mafia?ficheni ujinga wenu sio kila mtu ajue kuwa nyie ni vilaza..
 
Majina ya waliowatuma wauaji yamefichwa majina ya wauaji yametajwa kuna nini hapa? Kwa hali halisi hawa watu waliopanga mauaji haya nao pia ni mabillionea kwa hiyo polisi wanatumia nafasi hii kupata chao na kesi inabaki kwa hao jamaa watatu.
Mkuu uliona mbali sana
 
Watawachinja nyie waoga mi nishapita hapo Arusha tena nilikuwa kwenye kazi flani hivi,kuna vibaka wenu mnaowaita majambazi walikuja chumba cha hotel nilipo lala sijui nan alitaka kuniuza ila walichokutana nacho hawawezi kusema maisha yao yote kibaka anabeba revolver!alafu hata hawajapeleleza aina ya mtu wanaetaka kwenda kumpiga

mimi maisha yangu kila siku yapo hatarini sijawahi kuogopa kufa coz nishaona vifo vingi na nishakoswa koswa sana...
Acha fix wewe
 
Back
Top Bottom