Chanzo cha kifo cha billionea Erasto Msuya chabainika

USCHEZE NA WATU WA KASKAZINI BANA! ILE NI JAMHURI NYINGINE.KWANZA WANA HELA NA UKIZUBAA WANAKUCHINJA. KWA UBABE NDIYO USISEME KWANZA MAKABILA YA KULE NOMA!(kurya,meru,sonjo,masai,barbaegh,chaga nk)HAWA WATU WANA ITKADI KALI SANA.
Ubaya hautukuzwi mkuu,kwingine kunwachuna ngozi wala hawajitangazi!!
 
Majina yawekwe hadharani kama yalivyo wekwa ya wauwaji ili kuweza kuwaunganisha na wauwaji kusiwepo na mwanya wa rushwa kuwatenganisha mwishowe wa salimike na kuendeleza mauaji ya kikatili.
 
km mchz alikua amevunja sheria kw kutembea na kias cha fedha kingi ivo, km vp nae ahukumiwe kisheria kwa kuwekewa pingu kwenye kabur lake,
 
You are not serious!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sabayi wewe utakua ni ndugu yake chusa na sharifu. M naletewa ndoo ya bangi camp kwenu na denisi ndio maana vichwa vyenu akili zimeruka.
 
Halafu nani aliyetoa maelezo ya kiasi alichokua nacho? Kuna kamanda yeyote wa police aliyetaja kua familia imetoa maelezo kua marehem alikua na sh ngapi? 0
 
Hahaaa poleni sanaaaa . Wote mnajulikana. Mmehonga ml 5 gazeti la nipashe kuandika usenge ili kijificha ila hamuwezi kukimbia mkono wa mungu. Kaburu ailipewa pesa na sharifu siku erasto anapigwa risasi yy yuko airpot kupeleka pesa magazeti ni . Nani asiyejua? Acheni kumzihaki mungu eti asalam aleikum. Ndio maana sharifu alikua anafuturisha watu huku anapanga mauaji? Acheni kudanganya watu bwana. Hao wa naweza kusaidia police hizo ml 100 waliziona? Mnaua watu kwa hisia za kimavi halafu mnaongea ujinga. Chusa alitumia vijana wake kumuua kijana mwingine alokua amefanya naye biashara cet garden, alimpiga wile risasi kwa mkono wake akafungwa akatoa ml 120 file likabadiliswa, akampa shahidi ml 40 na vitisho juu kua akisubutu kutoa ushahidi anamuua, akaona hatoki akadai erasto ndio anasababisha asitoke. Hivi ukiua unatafuta ni nani anasababisha ufungwe? Serikali ya baba ako? Au ndio hizo bangi za denis zimemharibu chusa kichwa? Anahonga mpaka serikali za mitaa. Anakaa vikao na kina kaburu eti wakishindwa kumuua watammwagia hata tindikali loooo ni nini? Eti anasababisha chusa afungwe maana wile alikua rafiki yake halafu anauziwa mawe yote. Wivu jamani ni kidonda. Sasa hayo mawe umeuziwa au umeishiwa kupanuliwa njoro magereza? Huoni umemwaga dam mbaya? Umehonga ml 150 na bado umekamatwa unakazi ya kutema kamasi sasa umepata faida gani. Ndugu zake marahem, wazazi, mke na watoto wao si wameshasahau na wa naendelea na maisha? Je ww? Wake zenu , ndugu zenu na watoto? Wanalala? Pesa inafikaga mwisho . R.i.p chusa, r.i.p sharifu;, swaibu, na marehem wengine wote watarajiwa maana maandiko yanasema ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga. Kama mlipanga kuua mtu mungu atawaua haijalishi alikua mwema au mbaya hakuna mwanadam mwenye haki ya kuua mtoto wa mwanamke isipo kua mungu.
 
Mwenzetu mbona haueleweki umetokea wapi kwani?
 
Hahaaa poleni sanaaaa . Wote mnajulikana. Mmehonga ml 5 gazeti la nipashe kuandika usenge ili kijificha ila hamuwezi kukimbia mkono wa mungu. Kaburu ailipewa pesa na sharifu siku erasto anapigwa risasi yy yuko airpot kupeleka pesa magazeti ni . Nani asiyejua? Acheni kumzihaki mungu eti asalam aleikum. Ndio maana sharifu alikua anafuturisha watu huku anapanga mauaji? Acheni kudanganya watu bwana. Hao wa naweza kusaidia police hizo ml 100 waliziona? Mnaua watu kwa hisia za kimavi halafu mnaongea ujinga. Chusa alitumia vijana wake kumuua kijana mwingine alokua amefanya naye biashara cet garden, alimpiga wile risasi kwa mkono wake akafungwa akatoa ml 120 file likabadiliswa, akampa shahidi ml 40 na vitisho juu kua akisubutu kutoa ushahidi anamuua, akaona hatoki akadai erasto ndio anasababisha asitoke. Hivi ukiua unatafuta ni nani anasababisha ufungwe? Serikali ya baba ako? UNAONEKANA UNATAARIFA ZA KINA JUU YA MAUAJI HAYO,TAFADHARI UJE MAKAO MAKUU YA POLISI USAIDIE POLISI
 
hayo tena ni majanga...heee!!! au ni hela za 'mwakipande' unapata utajiri kwa muda fulani, muda wako ukiisha wa utajiri unakufa ghafla
"MWAKIPANDE",..birashaka wewe ni wa nyanda za juu Kusini
 
Back
Top Bottom