chanzo cha foleni maofisini

Hii mbona ni ya kweli kabisa
Hapo utaambiwa mtandao haupo
kumbe mtu yuko Facebook mbaya
zaidi mteja haoni chochote km
kweli mtandao haupo......

Nchi za wenzetu nadhani wanaendelea
kwakuwa mambo km haya yana muda wake.
 
hahahaaaa mdada analike tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…