snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
Mie hata hiyo sura sifikii kuiona, naona manywele tu vilobaki vyote vinakuwa blurred :eek2:
ila kweli yani hizo nywele zinaficha kila kitu!utakuta ndo identity style yake hii,kama ni hivo wanaomshauri hawakumtendea haki!au ndo ugonjwa wa viongozi wetu na wake zao kushauriwa vibaya!aahahahhahhahhaha