Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,712
- 9,791
Dogo si ujishughulishe tu hata kabustani ka mbogamboga hapo uwani kwa dada/shemeji yako badala ya mayoutube.No any reply except this one
Any JF member to volunteer
Hapana mkuu, na mimi nataka nile huku nimekaa kwenye kiyoyozi kama wafanyavyo viongozi wa viti maalumu bungeniDogo si ujishughulishe tu hata kabustani ka mbogamboga hapo uwani kwa dada/shemeji yako badala ya mayoutube.
Kwani mkuu, approximately ili channel iwe engaged more inahitaji videos ngapi per month?Channel ina miaka 3 alafu ina video nane unategemea nini.....! Kila kitu kinahitaji focus and Consistency
Habari wakuu,
Inakatisha sana tamaa ndugu zanguni. Yaani unakuta channel imekuwa created miaka mitatu iliyopita, ina video kama nane hivi zenye length ya dakika 10 kila moja, contents unakuta ni nzuri tu, video ni HD 1080p, zina ng'aa sana, lakini unakuta video moja ina 276 views, iliyojitahidi sana ina 504 views, nyingine ina miezi sita lakini ina 3 views
Hii ina maana watu ndo wanafiki? Ama YouTube hawaoni haja ya kuzifanyia recommendations? Au shida ni nini?
Mi ni YouTuber ambaye nategemea kuanzisha channel ya YouTube siku ya kesho na kuanza kutengeneza contents tofauti tofauti ili mwisho wa siku nianze kula maokoto, ila kwa hali hii, inakatisha sana tamaa
Mlioweza mliwezaje?
Kwani mkuu, approximately ili channel iwe engaged more inahitaji videos ngapi per month?
Fafanua kidogo mkuuConsistency and quality content
Mi mwenyewe nimemaliza 2015 mpaka leo hii sijaajiriwa, kipindi hicho Rais Magu anapukutisha wafanyakazi, nilijua nafasi za kazi zitakuwa za kutoshaWatu wamemaliza chuo 2012 hadi leo hawana kazi ili wewe halikushangazi..?
Kwahyo unataka kila mtu ajiajiri youtube?Mi mwenyewe nimemaliza 2015 mpaka leo hii sijaajiriwa, kipindi hicho Rais Magu anapukutisha wafanyakazi, nilijua nafasi za kazi zitakuwa za kutosha
Kwa sasa tuachane na mambo ya kuajiriwa, twende tukajiajiri kwenye kampuni kubwa ya ulimwengu ya YouTube
Youtube hamna maokoto kama watu wengi wanavyodhani na kuaminishwa.Habari wakuu,