Channel zilizopotea dstv

Channel zilizopotea dstv

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Posts
7,420
Reaction score
4,034
waungwana decoder yangu dsd 1131 imepoteza chanel kadhaa kwa zaidi ya wiki tatu sasa, nifanyeje kuzirudisha?
 
tbc, afr magic swah, ss4 na 7, b4u na channeli zote za kenya zimehama kabisa
 
Mpigie huyu atakupa no ya customer care ya dstv 0713601439. Ni mama Mzima
 
Angalia labda umeselect DSTV WEST AFRICA badala ya DSTV KU AFRICA.
 
wala usihangaike tafuta fundi arekebishe huo ungo utakuwa umesheki coz ukiwapigia dstv watakwambia hivyohivyo
 
Itakuwa tatizo ni kwako either settings zimesetiwa vbaya au ungo umechange position. Lakn cku zote naona signal iko 100% na steshen zote zko hewani pamoja na mpya waliofungua ijumaa SS9 EAST
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom