Channel TEN na baba wa Taifa.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,733
Katika pitapita yangu kwenye TV nimegota Channel TEN baada ya kumuona baba wa Taifa akikataa ombi la watoto wake kurithishwa nafasi za uongozi kwa kutumia nafasi yake akiwa rais wa nchi hii. Nimegundua kumbe ni igizo linalomuhusu baba wa Taifa, nimegota hapa na kuacha shughuri zote kutizama.
 
Jamaa amecover vizuri nafasi ya nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…