Thadei Mushi
JF-Expert Member
- Mar 15, 2015
- 218
- 66
Kati ya vijana waliokwenda mara nyingi kwenye media kumponda lowasa bila ushahidi wowote... Swali je lowasa akimtaja mhusika polepole utajisikiaje? Huna udhibitisho ni bora ukae kimya maana akiwa raisi utatafuta pakitokea
Na atakuwa raising Polepole anza kujisogeza jirani Jirani na Keko au Segerea
huyu porepore ni mwanga na dr mihogo iimempumbaza kabisaKati ya vijana waliokwenda mara nyingi kwenye media kumponda lowasa bila ushahidi wowote... Swali je lowasa akimtaja mhusika polepole utajisikiaje? Huna udhibitisho ni bora ukae kimya maana akiwa raisi utatafuta pakitokea
huyu porepore ni mwanga na dr mihogo iimempumbaza kabisa
Yeyote anaye ishabikia ccm ni muishiwa,yani hana jipya hivyo lazma akomae sura sababu kila sekunde lazma aongee uongo uliotukuka.Mbona sura ya pole pole imekomaa vile Ana miaka mingapi???
Mbona sura ya pole pole imekomaa vile Ana miaka mingapi???
Mbona sura ya pole pole imekomaa vile Ana miaka mingapi???
Usichezee njaa ya utoto ukaja kupata chakula ukubwani ndicho kilichompata!