channel o dstv imepotelea wapi??

channel o dstv imepotelea wapi??

Zooluline

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
206
Reaction score
102
waungwana channel o dstv mwezi huu mwanzoni ilibuma na baadae ikapotea kabisa kwenye list ya channels, hv imekuwaje tena maana hata mziki mzuri siupati tena, wadau majibu please...
 
Wameifunga kwa muda wanjipanga upwa ili wakuletee vitu vizuri zaidi, walitangaza wenyewe.... Ngoja waje wafuatiliaji wakuelezee kiurefu
 
dah! me mwnyewe baada ya kuona hii post ndo nmekumbuka kuchek kweli haipo naona kwenye mpangilio wake imebak trace urban+mtv base
 
Walisema wanaifunga kwa muda, so wakasema uwe unaangalia Africa Magic or Maisha magic kwa music!
 
Bora ife tu. Tangu niifahamu sijawahi kuona wakipiga pini zenye mvuto. Kwangu mimi haina maana kabisa.
 
Back
Top Bottom