Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,379
- 17,770
Ndugu, hakuna kitakachotokea, sana sana utamkinga mwanao na potential complications.Kwani mtoto kama hajapata hii chanjo nini kitatokea mwanangu siwezi kubari achomwe
Ndugu, hakuna kitakachotokea, sana sana utamkinga mwanao na potential complications.Kwani mtoto kama hajapata hii chanjo nini kitatokea mwanangu siwezi kubari achomwe
Inabidi turudi huko, mimi wanangu ni wa kwanza tuu ndo alipata hayo machanjo, tena yalimletea hyperactive immune response (eczema). Waliofuata nilikataa wasichanjwe, as expected wana afya nzuri sana na kila milestone ya makuzi wanapitiliza viwango.Watoto wale wanaozaliwa mbali na hospital mfano miaka ya nyuma mtu alikua anazaa nyumbani na Maisha yanaendelea mtoto hapelekwi hospital wala nini
Kumbe wewe ndio umeambiwa mtapata kibarua cha kutoa chanjo peleka upumbavu nyumbani kwakoUlaya na usa hakuna malaria ulitaka wafanye majaribio eneo lisilokua na ttzo,ficha upumbafu wako.
Una kiwango gani Cha elimusiamini hayo mambo ya chanjo wazungu wanahangaika sana na afrika ukute hapo wanazuia msizaliane huko au wana[andikiza mambo yao kwa watoto mtashituka mbele ndio mtajua hamjui
malaria tulizaliwa ipo tu watuache na maisha yetu kama wanatupenda wajenge barabara sio kuleta chanjo
Una kiwango gani Cha elimuHii ni project ya billgate aliweka mzigo wa kitita cha dola milioni 168 mwaka jana kwa ajili ya chanjo
Huyu jamaa kila chanjo anahusika,Waafrika kwa kupenda misaada huyu jamaa atatumaliza
Billgate is a Demon
Ninauficha😂. Huku kwenye malaria tumeshindwa kabisa kugundua hizo sindiyoUlaya na usa hakuna malaria ulitaka wafanye majaribio eneo lisilokua na ttzo,ficha upumbafu wako.
Chanzo cha takwimu?Afrika ndio inaongoza kwa ugonjwa na vifo vya malaria,hiyo ndio motive ya kwanza
Mhmm isijekua Africa ndio sampo smart wazungu wanapenda kutufanya Waafrika kama chambo
Una kiwango gani Cha elimu
Unajuwa contents za kwenye hizo chanjo, unazifahamu ingredients zake? Ulishafanya hata uchunguzi kwa kusoma scientific journals za hizo chanjo na kujuwa side effects zake?Una kiwango gani Cha elimu
Chanzo cha takwimu?
Kwanini wasifanyie Australia,kule Kuna malaria Kali kuliko Hii ya uku AfricaUlaya na usa hakuna malaria ulitaka wafanye majaribio eneo lisilokua na ttzo,ficha upumbafu wako.
Kwanni watoto wa saivi anazaliwa asipolia au kufanya chochote kuhakikisha yupo na afya nzuri wataalam husema huyo mtoto ana homa ya manjano naomba elimu kwa mwenye kufahamu hili jamboInabidi turudi huko, mimi wanangu ni wa kwanza tuu ndo alipata hayo machanjo, tena yalimletea hyperactive immune response (eczema). Waliofuata nilikataa wasichanjwe, as expected wana afya nzuri sana na kila milestone ya makuzi wanapitiliza viwango.
Sifahamu kwa kweli, mimi siyo dokta.Kwanni watoto wa saivi anazaliwa asipolia au kufanya chochote kuhakikisha yupo na afya nzuri wataalam husema huyo mtoto ana homa ya manjano naomba elimu kwa mwenye kufahamu hili jambo
Kwanini wasifanyie Australia,kule Kuna malaria Kali kuliko Hii ya uku Africa
Shika paphapo.Kwani mtoto kama hajapata hii chanjo nini kitatokea mwanangu siwezi kubari achomwe
Kweli kabisa, ukizingatia Malaria walikuja nayo Wazungu wa Ulaya. Fact.Kwanini wasifanyie Australia,kule Kuna malaria Kali kuliko Hii ya uku Africa
Kweli kabisa, ukizingatia Malaria walikuja nayo Wazungu wa Ulaya. Fact.
SIoni ni kwanini wasianzishe chanjo kwa watoto zao huko Australia.