Chanjo ya kwanza ya Malaria yaanza kutolewa kwa Watoto barani Afrika

Watoto wale wanaozaliwa mbali na hospital mfano miaka ya nyuma mtu alikua anazaa nyumbani na Maisha yanaendelea mtoto hapelekwi hospital wala nini
Inabidi turudi huko, mimi wanangu ni wa kwanza tuu ndo alipata hayo machanjo, tena yalimletea hyperactive immune response (eczema). Waliofuata nilikataa wasichanjwe, as expected wana afya nzuri sana na kila milestone ya makuzi wanapitiliza viwango.
 
Kwenye mambo ya ovyo TZ huongozana na nchi zilizo kwenye machafuko huku yenyewe amani 24/7.

Imagine ikiwa vitani hali itakuwaje

Hospital ya taifa kuwekeza kwenye huduma za ziada kama kuongeza makalio huku mko kwenye orodha km hizi ni sifa za kijinga.
 
siamini hayo mambo ya chanjo wazungu wanahangaika sana na afrika ukute hapo wanazuia msizaliane huko au wana[andikiza mambo yao kwa watoto mtashituka mbele ndio mtajua hamjui

malaria tulizaliwa ipo tu watuache na maisha yetu kama wanatupenda wajenge barabara sio kuleta chanjo
Una kiwango gani Cha elimu
 
Hii ni project ya billgate aliweka mzigo wa kitita cha dola milioni 168 mwaka jana kwa ajili ya chanjo

Huyu jamaa kila chanjo anahusika,Waafrika kwa kupenda misaada huyu jamaa atatumaliza

Billgate is a Demon
Una kiwango gani Cha elimu
 
Una kiwango gani Cha elimu
Una kiwango gani Cha elimu
Unajuwa contents za kwenye hizo chanjo, unazifahamu ingredients zake? Ulishafanya hata uchunguzi kwa kusoma scientific journals za hizo chanjo na kujuwa side effects zake?

Unafahamu presevatives kama mercury ambazo wanaziwekwa kwenye chanjo ili zikae muda mrefu bila kuharibika ni kwa sababu za kibiashara akini chembe chembe hizo zinapoingia kwenye mwili wa binadamu ni vigumu kuziondoa?
 
Inabidi turudi huko, mimi wanangu ni wa kwanza tuu ndo alipata hayo machanjo, tena yalimletea hyperactive immune response (eczema). Waliofuata nilikataa wasichanjwe, as expected wana afya nzuri sana na kila milestone ya makuzi wanapitiliza viwango.
Kwanni watoto wa saivi anazaliwa asipolia au kufanya chochote kuhakikisha yupo na afya nzuri wataalam husema huyo mtoto ana homa ya manjano naomba elimu kwa mwenye kufahamu hili jambo
 
Sichomi watoto wangu mimi. Chanjo ya maralia ya kazi gani wakati unaweza kusafisha mazingira na kutokomeza mazalia ya mbu na ukawa salama hata miaka 20 usipate maralia.

Wazungu ni washenzi sana. Taarifa za chanjo ya COVID-19 ninazozipata mtandaoni si nzuri.

Huyu Bill Gates anawekeza kwenye hizi experiments za kishenzi na kudhuru afya za watu. Mataifa kama US wanajua balaa la hizi chanjo na hakuna kitu utawaambia sasa kuhusu chanjo wakuelewe wanazichukia balaa.

Bill gates anatakiwa kuchunguzwa na kufunguliwa mashitaka ni mshezi sana yule mzee.
 
Back
Top Bottom