Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,280
Ukimwi ni project inayoingiza billions of money kwa watu wanaotengeneza ART huko ughaibuni, kamwe huwezi kupewa kinga ya Ukimwi maana utaua business za watu.Wanasayansi kutoka nchini Italia wamegundua chanjo dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI "AIDS" (Acquired Immune Deficiency Syndrome / Upungufu wa Kinga Mwilini).
Kinga hio imefanikiwa kupunguza mwilini idadi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Ukımwi "HİV" kwa asilimia 90.
Timu ya utafiti huu iliongozwa na Barbara Ensoli ambaye amefahamisha yafuatayo kuhusiana na matokeo ya utafiti huo:
Utafiti wao mpaka ulipofikia imethibitika kwamba chanjo waliyoitengeneza imetoa majibu ambayo waliyakusudia, yaani kuwa na uwezo wa kutoa kinga dhidi ya virusi vya Ukimwi.
Na cha zaidi imefanikiwa kupunguza kiwango cha virusi vya Ukimwi kwa asilimia 90.
Chanjo hiyo ambayo bado ipo kwenye majaribio inailenga aina maalum ya "protein " ijulikanayo kama HIV-1 Tat.
Protein hii ni muhimu katika maisha ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi.
Matokeo ya utafiti huu yamechapishwa katika jarida la Frontier in Immunology.
TRT
Hapo ndipo ninapowashangaa watu. Ujinga kama huo huwa sifanyi. Jitu eti linavaa condom huku linaingiza ulimi wake ndani ya uke au anaruhusu mshedede wake ukwanguliwe kwa meno. Wao wanajiona mahiri wa kufanya mapenzi eti. Hatari hii.Kwan nilazima kila ugonjwa upate Tiba au Chanjo?
HIV ni Halisi... Pima au tumia kondom....sema siku izi ujinga ni kuvaa kondom ilihal mnanyonyana Papuchi namshine
Bei yake sasa.......Wanasayansi kutoka nchini Italia wamegundua chanjo dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI "AIDS" (Acquired Immune Deficiency Syndrome / Upungufu wa Kinga Mwilini).
Kinga hio imefanikiwa kupunguza mwilini idadi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Ukımwi "HİV" kwa asilimia 90.
Timu ya utafiti huu iliongozwa na Barbara Ensoli ambaye amefahamisha yafuatayo kuhusiana na matokeo ya utafiti huo:
Utafiti wao mpaka ulipofikia imethibitika kwamba chanjo waliyoitengeneza imetoa majibu ambayo waliyakusudia, yaani kuwa na uwezo wa kutoa kinga dhidi ya virusi vya Ukimwi.
Na cha zaidi imefanikiwa kupunguza kiwango cha virusi vya Ukimwi kwa asilimia 90.
Chanjo hiyo ambayo bado ipo kwenye majaribio inailenga aina maalum ya "protein " ijulikanayo kama HIV-1 Tat.
Protein hii ni muhimu katika maisha ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi.
Matokeo ya utafiti huu yamechapishwa katika jarida la Frontier in Immunology.
TRT
DaaaaahTafiti nyingi za Wanasayansi zinasema Ukosefu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) au AIDS hausababishwi na Retrovirus(HIV) bali una sababishwa na malnutrition.
Ndiyo maana wanaotumia dawa za mitishamba wanatumia mizizi ya kubusti kinga ya mwili kuifanya iwe imara na kula chakula bora.
Uliza kipindi cha urais wa Thabo Mbeki alivyosema hamna ugonjwa wa Ukimwi jamii ya Wasouth Afrika wenye Ukimwi wakapona kwa mlo tu sababu AIDS ni malnutrition, na alishirikiana na wanasayansi. In short ili works like a magic.
Ila kwa vile hii issue imepigiwa Kampeni sana, tayari imeshaganda kwenye vichwa vya watu.
HIV(retrovirus) kama angelikuwa analeta athari hasi kwenye mwili wa binadamu basi tusingelifuga mbwa.
It's true mzee......Ukimwi ni project inayoingiza billions of money kwa watu wanaotengeneza ART huko ughaibuni, kamwe huwezi kupewa kinga ya Ukimwi maana utaua business za watu.
Serikali inanunua dawa kwa hela nyingi kuhudumia waathirika,huwezi kuona impact ya moja kwa moja kwakua hutoa hela mfukoni kwako kulipia ARTs.
Sent using Jamii Forums mobile app