Changudoa na mwanafunzi

JambaziSugu

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
245
203
Jamaa kafanya mapenz na changudoa alivyomaliza
Changudoa: nipe changu fasta.
Jamaa: hii hapa.
Changudoa: we kaka mwehu nn.. yani raha zote nilizokupa unanipa sh 150?
Jamaa: (akatoa kitambulisho) mi mwanafunzi!!!
 
mwanafunzi gani anajituma mambo ya wakubwa lazima alipe hapo serikali haitoi ruzuku
 
Jamaa kafanya mapenz na changudoa alivyomaliza
Changudoa: nipe changu fasta.
Jamaa: hii hapa.
Changudoa: we kaka mwehu nn.. yani raha zote nilizokupa unanipa sh 150?
Jamaa: (akatoa kitambulisho) mi mwanafunzi!!!

Dah! nimecheka sana! hii kali.
 
Da! Siamini km changu anaweza akamuacha huyo dogo ni lazima atalianzisha tu
 
Na konda akimdai anampa 150 na aliempa utamu anamgeia 150 amkomalie dogo ckonga baadae xana
 
Back
Top Bottom