MumCaron
Member
- Apr 2, 2013
- 59
- 15
Umepatia itakuwa kahumba au chpkz na kiwanja maarufu sasa vha ChilakaleKaumba....
Umepatia itakuwa kahumba au chpkz na kiwanja maarufu sasa vha ChilakaleKaumba....
Mkuu nikifika Moro nijitahidi kukwepa hiyo mitaa kwani Biblia inasema ikimbieni zinaa na sio kupambana nayo.
Kahaba unaweza kukutana nae popote bila kujua kirahisi, siku hizi hawajipangi kwenye road kama zamani.
Hawa wadudu wanapatikana mitaa gani ili tunapokuwa huko tuweze kuwakwepa?
Hawa wadudu wanapatikana mitaa gani ili tunapokuwa huko tuweze kuwakwepa?
Kahaba unaweza kukutana nae popote bila kujua kirahisi, siku hizi hawajipangi kwenye road kama zamani.
Vyangudoa wa moro ni wakuwaogopa kama ukoma!!Malima anajua habari yake
Kuanzia pale alipolala naibu waziri bitozi mwenye SMG, na guest zote za jiraniHawa wadudu wanapatikana mitaa gani ili tunapokuwa huko tuweze kuwakwepa?
Mkuu Kaumba kijiografia hapo Moro ni mwelekeo wa wapi?
Mkuu ni maeneo gani au ni kwenye vilabu vya mataputapu?
vigogo gani mkuu?
kaumba na moro by nite ni town kabisa na tawi la nmb wamiHawa wadudu wanapatikana mitaa gani ili tunapokuwa huko tuweze kuwakwepa?
haHivi hata Moro kuna Vyangudoa