Changudoa Morogoro hatari!!!!

Changudoa Morogoro hatari!!!!

Jamaa yangu jana ameingia na mdada gest alipoamka asubuhi akamkuta hayupo na simu na fesha hakuna. Hii ni baada ya kutokumwona kwenye mkutano na ikawa simu yake haipatikani na tulipomtuma dereva pale aliposhukia tukamkuta ila akajikausha as if nothing has happened.
Kwa mujibu wa wahudumu jamaa aliingia saa 6 chumbani akiwa amefuatana na binti mmoja na walikuwa wameiva baada ya kupiga ulabu wa uhakika. Hadi sasa yule msichana hajapatikana.
Nawashauri vijana ogopeni pombe na jiadharini na hawa akina dada poa mnapokuja Morogoro kwani watakuchukulieni sio tu asset zenu lakini pia watawaambukiza VVU

Hakujifunza toka kwa Adam Malima!? mwenzie pamoja na kuwa na SMG na pistol bado walimliza...
 
pole mkuu, umate umate bila kujipanga utawatesa sana
 
Jamaa yangu jana ameingia na mdada gest alipoamka asubuhi akamkuta hayupo na simu na fesha hakuna. Hii ni baada ya kutokumwona kwenye mkutano na ikawa simu yake haipatikani na tulipomtuma dereva pale aliposhukia tukamkuta ila akajikausha as if nothing has happened.
Kwa mujibu wa wahudumu jamaa aliingia saa 6 chumbani akiwa amefuatana na binti mmoja na walikuwa wameiva baada ya kupiga ulabu wa uhakika. Hadi sasa yule msichana hajapatikana.
Nawashauri vijana ogopeni pombe na jiadharini na hawa akina dada poa mnapokuja Morogoro kwani watakuchukulieni sio tu asset zenu lakini pia watawaambukiza VVU

aahh..ndugu,wambiwa ukienda vitani usiogope mlio wa risasi!!!!
 
Jamaa yangu jana ameingia na mdada gest alipoamka asubuhi akamkuta hayupo na simu na fesha hakuna. Hii ni baada ya kutokumwona kwenye mkutano na ikawa simu yake haipatikani na tulipomtuma dereva pale aliposhukia tukamkuta ila akajikausha as if nothing has happened.
Kwa mujibu wa wahudumu jamaa aliingia saa 6 chumbani akiwa amefuatana na binti mmoja na walikuwa wameiva baada ya kupiga ulabu wa uhakika. Hadi sasa yule msichana hajapatikana.
Nawashauri vijana ogopeni pombe na jiadharini na hawa akina dada poa mnapokuja Morogoro kwani watakuchukulieni sio tu asset zenu lakini pia watawaambukiza VVU

Jamaa yako anaweza kutueleza shepu ya huyo mdudu? nataka nimsaidie maana mimi nawafahamu baadhi yao.
 
Kaumba....

Pia wanapatikana Bar moja hivi pale Msamvu maarufu kwa jina la ITIGI. Lakini hawa ni wale wa Buguruni type yaani wa buku buku tu fasta fasta!!

NB:Usini-qoute mimi pia nimeambiwa tu na watu!!
 
Ipo uelekeo gani hii?
 
Ipo uelekeo gani hii?

Kama unatokea Dar es salaam kabla haujafika geti la kutokea stand kuu ya msamvu mkono wako wa kushoto pale yanapopaki magali makubwa ya masafa marefu!!Ukifika maeneo hayo wewe ulizia tu au ukifika mida ya kuanzia saa 2 usiku wala hupati shida maana huwa kuna bakurutu inapigwa pale kila siku!!
 
Ha ha ha haaah!! Kumbe hapo.....!! Wana nafuu kuliko wale wa Kahumba?
 
ha

Moro ndo makao makuu ya vyangu doa, wanaweka dawa za kulevya kwenye nyonyo, shimgoni na hata sehemu nyeti. Kama wewe ni mroho wa rambaramba hata uwe mrokole utalala wiki nzima umelewa na kufagiliwa kila kitu

Duh...kama hata kwa changu mtu unathubutu kwenda umbali huo...basi hata ukiibiwa unastahili...unamzoa changu ametoka kwa mteja mwingine hata muda wa kuosha huwa hawana, na wewe unathubutu kutumia ulimi wako ? hata kinyaa hamna ? ptuuuuu.....

.......MUIBIWE TU.......

Back
Top Bottom