Changudoa ananipiga mizinga.

ni wale shivaz jero jero wa chuga! pia ukapime hiv mkuu,

Acha ushamba. Kuna condom. Kama kuna mwanaume asiyetia malaya dunia hii atakuwa ***** au ana matatizo. Kumbuka hata watu safi kama tiger wood wanatia machangu. Na kwa uzoefu wangu kila safari za serikali tunapokua nje ya nchi au mikoani hakuna mwanaume rijali asiye kamata malaya huko awe mzee, ameoa au hajaoa. Si waziri, mbunge, dereva. Hii nakumwagia siri ndo hali halisi. Nawasikitikia wanawake wanaoachwa majumbani wakiamina the opposite.
 

word!!! huo ndio ukweli wenyewe kabisaaaa
 
unamdelete vipi wakati yeye ndiyo anakusumbua?
 
Uwe na utu kijana, wewe ni changu wa kiume yeye ni changudoa kwahiyo ngoma droo. Huyo ni mpenzi wako na mnaendana tabia. Kwakuwa anasoma anaweza kuja kuwa mkeo. Endelea kumpa support
 
Uwe na utu kijana, wewe ni changu wa kiume yeye ni changudoa kwahiyo ngoma droo. Huyo ni mpenzi wako na mnaendana tabia. Kwakuwa anasoma anaweza kuja kuwa mkeo. Endelea kumpa support

Kama umeolewa basi nawe umeolewa na changu wa kiume kama mimi. Nnakuhakikishia mumeo lazima anagonga machangu akisafiri.
 
ni wale shivaz jero jero wa chuga! pia ukapime hiv mkuu,

Shivaz hakuna ngoma wewe ila wale watoto wakali kinyama arifu. Kuna ngoma 1 kama wema sepetu uzuri wake nilipigaga kwa elf3 tu mitaa ya mrina annex ila ile guest house ni chafu ile mbaya.
 
Uwe na utu kijana, wewe ni changu wa kiume yeye ni changudoa kwahiyo ngoma droo. Huyo ni mpenzi wako na mnaendana tabia. Kwakuwa anasoma anaweza kuja kuwa mkeo. Endelea kumpa support

Kama umeolewa basi nawe umeolewa na changu wa kiume kama mimi. Nnakuhakikishia mumeo lazima anagonga machangu akisafiri.
 


siyo kweli kabisa mkuu.

sourse; mimi mwenyewe asakuta same
 
Last edited by a moderator:
Ushasema ni mwanachuo na ni mkali, we mpe tu kama buku 5 mdogo mdogo, utakua unamega tu kilaini, sie huku chuga kama pande za njiro kati uhasibu mtu unakula watoto kama wanne kila mmoja kwa wakati wake, wacha wale wa piga asepe, maisha imekuag tight arifu, njaa kali bhana. Ila kama vipi saa ingine unamtoa tu kibingwa kama unayo, wengine wanajisomesha kwa kujiuza aisee, life noma sana.
 
Uwe na utu kijana, wewe ni changu wa kiume yeye ni changudoa kwahiyo ngoma droo. Huyo ni mpenzi wako na mnaendana tabia. Kwakuwa anasoma anaweza kuja kuwa mkeo. Endelea kumpa support

Kweli kabisa, mi nakula mke wa mtu safi na nilikuaga naipa support wakati inasoma makumira, ilivomaliza ikapata job na ikaolewa na mshua flani akamzalisha watoto wawili fasta, sasa demu bado kijana na mzee umri kidogo upo kisogoni, mama analipa fadhila saa hii....
 
Kama umeolewa basi nawe umeolewa na changu wa kiume kama mimi. Nnakuhakikishia mumeo lazima anagonga machangu akisafiri.
Ha ha hahaa wee huoni avator ni picha ya kike hiyo? Mimi nilishajitambua zamani kwahiyo nawaheshimu watu na sipo kwenye kundi la kujumlisha watu ila nipo kwenye kundi la kuhoji mazoea. Kwa mfano tofauti yako wewe na huyo dada ni ipi? Wewe umeenda kumvulia nguo huyo mdada wala humjui na yeye kafanya hivyohivyo?
Mimi naona ingekuwa siri yako maana dunia ya leo kugongagonga kama zamani sio sifa tena kuna ngoma na condom fake zipo kibao. Unamlaumu nini huyo dada, kwanza alikusaidia.
 
huyo changudoa wa kike na ww mwenyewe changudoa wa kiume... na pia hili jukwaa litumike vizuri jaman! hapo xaxa unaomba ushauriwe kitu gan? kwa huo upumbavu wako?
 
mpe chake,pia unavyotibiwa kaswende ulete uzi pia hapa JF tukupe dawa.Sifa za kijinga kama wewe rijali kweli mbona mkeo anatoka nje ukisafiri?
 
word!!! huo ndio ukweli wenyewe kabisaaaa

Sasa bro, wewe unalia juu ya usaliti wa wanawake; halafu unakubaliana na dhana kuwa mwanaume lazima acheat, sasa huyo mwanaume atacheat na mwanaume mwenzie?

Mimi naona kama wewe lazima ugegede malaya au aso malaya basi jua mpenzio naye ana gegedwa. Maana as long as ratio ya wanaume kwa wanawake sio 1:2 au zaidi basi kuna kushare na kurudiana kwa sana tu.
 

yeah damn strait mademu wanagegedwa so thats y i opt for malaya...atleast no lies hapo na emotinal stress. for me its a safer option
 

Kweli jf imekuwa sehemu ya kuchekesha sometimes. Sasa si umwambie kuwa hupendi usumbufu au umchane kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…