Changu akajua amepata Mreno, akalamba “Wallet”

Hahahahahahaa..., Mtambuzi kumbe ni mtu wa fix this much, duh...!
Amigo unatwanga kiswazi tena kile cha mwananyamala, duh we mkare:lol::lol::lol:
 
ahahahahah, mtambuzi umeniacha hoi, inaelekea enzi za mwalimu ulikuwa noma. sasa mlirudi tena siku nyingine hapo au ndo mkapakimbia kabisa.

Mhhhhhhhhhhh! sikubali ngoja na mimi nifanye mambo aiseee! Madam Canta unaona maneno hii!
 
hahahahahahahahahah

Baba yangu Mtambuzi sikujua huu uzi unfurahisha namna hii; niliupotezea tangu ulipoupost............leo nikajilazimisha kuingia kuona kulikoni.......!

Da! nashukuru niliamua hilo kwani nimecheka na kufurahi kama mwendawazimu! pamoja na hayo umenikumbusha mtiririrko wa visa vingi vya aina hii ambavyo mimi na rafiki zangu tulikumbana nanvyo na vingine viliwafikisha wenzetu hatarini kwani walivamiwa na majambazi wakidhaniwa kweli ni "mabopali" kumbe hamna kitu................lakini pia imenitafakarisha katika upande mwingine amabo tumekuwa tukijadili hapa mara kwa mara kuwa ili kuweza kumweka mwanamke katika himaya yako iwe ya kudumu ama ya muda mfupi.............UONGO japo kidogo lazima utumike!
 
Haya bana mwaka 2000 apartments dar? sio kitu ni hadithi nzuri, nashauri hivi vistori vikusanye pamoja JF itoe kitabu, week end njema.

Zilikuwepo bana.................hadi kule Changanyikeni (Nyuma ya Chuo Kikuu cha DSM ) ambako nilikuwa naishi!
 
hahahahahahahahahah

Baba yangu Mtambuzi sikujua huu uzi unfurahisha namna hii; niliupotezea tangu ulipoupost............leo nikajilazimisha kuingia kuona kulikoni.......!

Da! nashukuru niliamua hilo kwani nimecheka na kufurahi kama mwendawazimu! pamoja na hayo umenikumbusha mtiririrko wa visa vingi vya aina hii ambavyo mimi na rafiki zangu tulikumbana nanvyo na vingine viliwafikisha wenzetu hatarini kwani walivamiwa na majambazi wakidhaniwa kweli ni "mabopali" kumbe hamna kitu................lakini pia imenitafakarisha katika upande mwingine amabo tumekuwa tukijadili hapa mara kwa mara kuwa ili kuweza kumweka mwanamke katika himaya yako iwe ya kudumu ama ya muda mfupi.............UONGO japo kidogo lazima utumike!
Mkuu acha utani bana, yaani uongo hata kwa Machangu!................Ule ulikuwa ni ulimbukeni wangu tu nadhani. Lakini nimejifunza mengi katika makuzi yangu na ndio maana najiita MZEE MTAMBUZI.
Siku hizi nikiona Skin Jinzi na Miniskirt kwangu ni vitu vya kawaida tu..............................
 
Zilikuwepo bana.................hadi kule Changanyikeni (Nyuma ya Chuo Kikuu cha DSM ) ambako nilikuwa naishi!
Bora umemjibu, maana mimi nilijionea nikae kimya tu...........................lakini simlaumu maana huenda miaka hiyo alikuwa bado ni NJUKA!
 
Sasa mtambuzi kwa mfano wallet isingeibiwa, that means ungelipa bili, je mngeenda na machagu wenu Sheraton hotel au ingekuwaje?
 
Sasa mtambuzi kwa mfano wallet isingeibiwa, that means ungelipa bili, je mngeenda na machagu wenu Sheraton hotel au ingekuwaje?
Mkuu, ni Mungu tu ndiye anayejua kile ambacho kingetokea............................
 
Ni kweli Mungu aliepusha, manake nimejaribu kutafakari hii story sijui mwisho wenu ungekuwaje, ila nahisi mngewakimbia wale machangu, bahati kwao nikuwa siku hiyo walipata pia za bure

Mkuu, ni Mungu tu ndiye anayejua kile ambacho kingetokea............................
 
Mwanangu Yesu wako kiboko, alikufuata mpaka Bar! Bila kuibiwa Pochi ungebeba wale manzi aisee, Labda ndio ilikuwa salama yako!! Manake machangu na ulabu tele Negativu inaungua.
 
Meeda enzi hizo ilikuwa ni balaa. Dj alikuwa ni huyu mtangazaji wa EATV wa kipindi cha skonga.
 
Nimecheka sana.
Pole kwa yaliyokukuta mkuu. Ila ndo kujifunza
Kipofu nimeona mwezi.....................
Ha ha ha haaaaaa..............Kwa mara ya kwanza leo PAW kaweka comment kwenye uzi wangu, kaazi kweli kweli..........
Mkuu naheshimu sana uwepo wako katika uzi huu, naomba usichoke kusoma ujinga wangu, karibu sana...................................LOL
 
Meeda enzi hizo ilikuwa ni balaa. Dj alikuwa ni huyu mtangazaji wa EATV wa kipindi cha skonga.
Kweli wewe ni mzoefu wa eneo lile, kumbe na wewe ulikuwa mteja wa totoz katika anga hizo eh......................! LOL
 
Kweli wewe ni mzoefu wa eneo lile, kumbe na wewe ulikuwa mteja wa totoz katika anga hizo eh......................! LOL

Kweli nilikuwa naenda sana maana ningeweza kutembea hata kwa miguu kutoka nilikokuwa nimepanga Sinza Palestina. Totoz zilikuwa za kumwaga ila nilikuwa najaribu ku keep distance. Pale pembeni kulikuwa na club ya VIP lilikuwa likipigwa disco la nguvu. Ilinisaidia maana sasa hivi naona ni vitu vya kawaida na siwezi kuweweseka na vichupi na vimini. Huwa namshangaa rafiki yangu licha ya kuwa ndani ya ndoa na watoto 3 bado vimini havimpitii mbele maana awali hakupata nafasi kama hiyo loh!
 
Back
Top Bottom