Changia mawazo yako

Changia mawazo yako

KAGIMBO MJUNI

Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
20
Reaction score
1
Wahenga walinena, "akili ni nywele, kila mtu ana zake" nimekuwa nikisoma somo la History takriban miaka sita (yaani tangu 4m one mpaka 4m6) kuna nadharia mbalimbali nilizokutana nazo zilizo wekwa nawatu kutokana na uono/mtazamo wao. kama mtu ninaye heshimu hisia za mtu niliheshimu hisia zao na bado nadharia kibao ninazo kutana nazo hadi hii leo bado naziheshimu laki lazima nikosoe pale napoona pana makosa ya kibiandamu.
Pana nadharia ya wana historia inayodai bianadamu tumetokana na NYANI. Ya kwamba binadamu tulianza kama nyani walivyo tukaexperience mabadiliko kutoka kwenye uhalisia wa nyani mpaka tukawa CHIMPANZEE tukapata mabadilikooo mpaka HOMOSAPIENCE kama hatua ya mwisho ya mabadiliko tukiwa na uwezo wa kusimama kwa miguu miwili badala ya pale tulipokuwa tukitembea kwa miguu minne.
Baadhi ya watu wanacritisize hii theory kwa madai ya kuwa mbona nyani wa leo hawabadiliki ili kutokea binamu wengine. Lakini bado cha kustaajabisha ni kwamba theory hii hukamilishwa na wezetu weupe kwa kurefer kwetu waafrika kwamba kuhakiki ukweli wa theory hii watazame waafrika. Sasa basi, kama wewe ni muafrika halisi na unaungana na mimi kuwa madai ya nadharia hii sipo sio sahihi, taja sababu unazo ziona kama zinaonesha kuwa sio kweli kuwa Muafrika ndo reffernce ya kuthibitisha origination ya binadamu kutoka kwenye Nyani/sokwe
 
Umetumia maelezo marefu sana kutoa hii hoja. Lakini suala ni kwamba hawakuwa Nyani bali walifanana na nyani. Hii haimaanishi waafrika bali wanadamu wa race zote. Na tunaendelea kubadilika kulingana na mabadiliko ya tabia nchi lyfstyle science and technology. Mzungu wa mwaka 8000bc sio sawa na mzungu wa leo. Same applies to all races
 
Back
Top Bottom