BABU CHONDO
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 855
- 139
Ulipooomba kuchangia hukujua unataka kuzungumzia nini?jipange Mh. yako mengi sana sio lazima tukuambie chakuzungumza japo hapa ndo GT,
Kuna General Tyre imekufa je ni viwanda vingapi vilivyo kufa na kwanini?
Kwanini gharama za cmu zipandishwe ilhali hata baadhi ya sehemu za nzega hakuna mawasiliano wala umeme.