R rodrick alexander JF-Expert Member Feb 12, 2012 16,359 22,516 Feb 11, 2017 #3 hatuelewi hebu toa ufafanuzi
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Feb 11, 2017 #4 City garden ya pale karibu na Imalaseko DSM!? Mbona ilishafungwa!
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 Feb 11, 2017 #6 Hiyo picha ya katikati sasa... Eti ndo wanajifanya kuwatambua masela, wakati deile wanawaponda ni wahuni...
Hiyo picha ya katikati sasa... Eti ndo wanajifanya kuwatambua masela, wakati deile wanawaponda ni wahuni...
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Feb 11, 2017 #7 Kweli wenye tangazo hawajui watanzania!! Akili zote ziko kwenye unga wewe unafikiri kuna mtu atajitokeza?
Kweli wenye tangazo hawajui watanzania!! Akili zote ziko kwenye unga wewe unafikiri kuna mtu atajitokeza?