Idea nzuri sana ila lazima tufahamu hii haiwezi kuwapa confidence kwa vile kwenye mitandao kuna utapeli mwingi sana. Ingekuwa bora viongozi wa chadema wakauzindua huu mpango rasmi kwenye tvNimefurahi kwamba kwenye website ya chadema kuna namba 15710 unaweza kuchangia pesa moja kwa moja na unashiriki katika ukombozi. Kama ni mteja wa tigo, voda au airtel tuma neno chadema kwenda no 15710 na utakuwa umechangia sh 350. Hawajataja tigo kweye web ila ukituma inakubali.
Nawakumbusha tena chadema, tupo wengi wakereketwa wa mageuzi tumechoshwa na ccm. Anzisheni harambee maalum kwa njia ya simu ili tuweze kuchangia unzishwaji wa TV, Radio na Gazeti la chadema. Mkitangaza vizuri kwenye magazeti, mikutano ya hadhara, TV , Radio na mitandao ya kijamii kama hii mtaweza kupata bilions na tutakuwa na vyombo vyetu vya habari. Mkianzisha tu siku ya kwanza nitatoa 100,000 na wengine wengi wapo tayari. Do something before it is too late plzzzzzzzzzzzzzzz.
Chama kinajengwa na wenye moyo
Sipo tayari kuwachangia wachaga. Ruzuku wanazopewa wanafanyia nini?
Posho wanazopewa wanafanyia nini?.
Huu ni wizi wa wazi wazi. Sipo tayari kuchangia hata kumi.
Nimeshatuma mara 3,naunga mkono hoja