"Changes on the fingers" Lema kuanza kuifumua CCM - Dar

"Changes on the fingers" Lema kuanza kuifumua CCM - Dar

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Baada ya Kuibomoa CCM kanda ya Kazikazini na kanda ya Ziwa sasa ni zamu ya Dar, Lema kuanza kwa kuzindua mabadiliko kupitia kiganja, Lengo ni kuwafikia watanzania wengi zaidi wenye access na mitandao mbali mbali ambao kwa njia moja ama nyingine hushindwa kufika kwenye mikutano ya ukombozi wa taifa lao…
 
CHADEMA INATAKIWA KUPIGA KAMBI YA KUDUMU DAR, DODOMA, TANGA NA KUSINI... hii mikoa ina mavuvuzela wengi mno ambao bado wapo ccm na hawajui kwanini
 
CHADEMA INATAKIWA KUPIGA KAMBI YA KUDUMU DAR, DODOMA, TANGA NA KUSINI... hii mikoa ina mavuvuzela wengi mno ambao bado wapo ccm na hawajui kwanini
Ndiyo hivyo kambi inaanza Dar....
 
Mi nimeelewa,lema amekuja na mpango wa kumwaga sumu via mitandao,ANA 'LOUNCH' DAR.,Pamoja kamanda.GOD BLESS godbless Lema.
 
Mungu ampe maisha marefu Godbless Lema.Tena naombea mahakama ya rufaa ichelewe kutoa hukumu yake.
 
Bila shaka huu moto hauzimiki ni mpaka kieleweke.

Lango hadi lango!

Viva Chama cha Demokrasia na Maendeleo!
 
Elezea zaidi. Sijakuelewa. Anazindua nini, wapi na lini? Tafadhali ongeza nyama kwenye ujumbe wako..
 
M4C ifike na Morogoro pia,majority ya watu wa huku hawatofautiani sana na watu wa Dar,Dodoma na Tanga!wanahitaji ukombozi wa kifikra
 
Hapo dar panahitaji nguvu kubwa mno,kwa sababu watu wa hapo bado wako gizani sana,
Kamanda cheza nao hao mpaka wabadirike.
 
I real appreciate this guy from ma heart though am CCM member...every section of his mental and physical apperance he is good at all., long live Lema
 
Hapo dar panahitaji nguvu kubwa mno,kwa sababu watu wa hapo bado wako gizani sana,
Kamanda cheza nao hao mpaka wabadirike.
kAMA BIBI ZETU VIJIJINI WAMEISHITUKIA CCM KWANINI ISIWE DAR AMBAKO KUNA MAGAZETI, TV,RADIO, MITANDAO.... TENA MIMI NAONA DAR NI RAHISI SANA KUWA ELIMISHA....
 
Dar es Salaam mtakuwa sehemu gani?
 
Back
Top Bottom