"Changes on the fingers" Lema kuanza kuifumua CCM - Dar

"Changes on the fingers" Lema kuanza kuifumua CCM - Dar

Hapo dar panahitaji nguvu kubwa mno,kwa sababu watu wa hapo bado wako gizani sana,
Kamanda cheza nao hao mpaka wabadirike.

Katika miji ambayo kama uchaguzi unakuwa free and fair basi jiji la Dar CCM haitashinda hata kiti cha udiwani kimoja achilia mbali ubunge. Uchaguzi wa 1995, CCM walipoona kuwa wanashindwa kwa kishindo walichofanya ni kuvuruga uchaguzi wa Dar ambao ulirudiwa baada ya wiki kadhaa.

Tatizo kubwa la Dar ni kuwa wengi ni watafutaji na wapo busy hasa na mambo yao ya kimaisha kutokana na ugumu wa kuishi jijini. Watu wengi kama watajitokeza kupiga kura basi CCM haitakuwa na lake. Kinachofanya Dar kuonekana ni legelege kwenye upinzani ni mbinu za CCM ambazo husema kuwa Dar is a strategic city hivyo kuwa chini ya upinzani ni kuimaliza CCM, hivyo hutumia kila mbinu za ulaghai wa kura ili wajitangaze wameshinda. Na kwa watu wa Dar suala la kulinda kura linaingia palepale kwenye maisha magumu ya jiji. Kama CDM inahitaji hasa kuchukua nchi Haina kazi kubwa sana ya kufanya Dar zaidi ya kuahamasisha watu kupiga kura na kulinda kura zao, kuhusu suala la nani watampigia hilo ni dhahiri kuwa yeyote isipokuwa CCM.
 
Elezea zaidi. Sijakuelewa. Anazindua nini, wapi na lini? Tafadhali ongeza nyama kwenye ujumbe wako..
Leo kamati itakaa kwenye hotel moja hapo Dar na baada ya mazishi ya mwenyekiti huko USA-River ndiyo atazindua Mfumo upashanaji habari kupitia Simu zetu na mitandao mbali mbali ambao ameuita [h=2]"Changes on the fingers"[/h]
 
Baada ya Kuibomoa CCM kanda ya Kazikazini na kanda ya Ziwa sasa ni zamu ya Dar, Lema kuanza kwa kuzindua mabadiliko kupitia kiganja, Lengo ni kuwafikia watanzania wengi zaidi wenye access na mitandao mbali mbali ambao kwa njia moja ama nyingine hushindwa kufika kwenye mikutano ya ukombozi wa taifa lao…

Tupo pamoja Mkuu, Dar kuna hazina ya Vijana wengi sana ila na Wasaliti nao ni wengi sana... I think unaelewa na maanisha nini?
 
CHADEMA INATAKIWA KUPIGA KAMBI YA KUDUMU DAR, DODOMA, TANGA NA KUSINI... hii mikoa ina mavuvuzela wengi mno ambao bado wapo ccm na hawajui kwanini

Tena napendekeza hiyo kampeni ianze na Lindi,Kilwa,Mtwara, Liwale,Newala na Tunduru..
Huko ni Kizani kabisa..
 
Na Mungu akulinde na Uzidi kuielimisha watanzania, M4C at work
 
Pamoja sana majembe ya cdm,mapambano ya ukombozi wa taifa from neo-colonialist(ccm) w'd collupsed 2015
 
Baada ya Kuibomoa CCM kanda ya Kazikazini na kanda ya Ziwa sasa ni zamu ya Dar, Lema kuanza kwa kuzindua mabadiliko kupitia kiganja, Lengo ni kuwafikia watanzania wengi zaidi wenye access na mitandao mbali mbali ambao kwa njia moja ama nyingine hushindwa kufika kwenye mikutano ya ukombozi wa taifa lao…
Pia makamanda wasisahau kwenda Singida hasa hasa Iramba ili 2015 tuwang'oe Mwigulu na Salome.
 
Kwa Makinda na Pinda lini?
Kwa Pinda ni CHADEMA tupu,hakuna sehemu yenye muamko kama Katavi,hata ofisi ya CCM ni kama iliisha fungwa,Mbunge wa Mpanda mjini kwa miaka miwili sasa ni SAID HALFI wa CHADEMA na anakubalika ile mbaya,isingekuwa kumuheshimu Pinda na kutoweka mgombea hata kwenye Jimbo la Pinda wangechukua kwani mwenyekiti wa kijiji chake ni CHADEMA
 
I real appreciate this guy from ma heart though am CCM member...every section of his mental and physical apperance he is good at all., long live Lema

I really appreciate People who appreciate others irrespective of their ideological and political differences....I like this....
 
Ee Mungu tupe maisha tukomboe hili Taifa linaloongozwa na mashetani
 
Back
Top Bottom