Change ya Radar: Kamati ya Bunge Uingereza kuchunguza kwa nini bado haijarudishiwa change | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Change ya Radar: Kamati ya Bunge Uingereza kuchunguza kwa nini bado haijarudishiwa change

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Jul 15, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Tarehe 19 Julai 2011, Kamati ya Bunge la Uingereza ya Maendeleo ya Kimataifa itaanza kuchunguza kwa nini bado BAE Systems haijarudisha change ya radar kwa Watanzania. Kamati hiyo itataka kujua ni kwa nini mpaka sasa (baada ya miezi saba tokea kesi imalizike) BAE System bado haijarudisha hiyo change. Kamati ya bunge itataka kujua pia BAE Systems imehakikishaje pindi change hiyo itakaporudishwa itatumika kwa ajili ya maendeleo Tanzania. Pia kamati itataka kujua BAE System imepokea ushauri gani kutoka Wizara ya Maendeleo ya Kimataifa ya Uingereza juu ya matumizi ya change pindi itakaporudishwa Tanzania.

  Kamati itawahoji maafisa wa ngazi za juu wa wizara hiyo, BAE Systems and SFO. Nategemea kwenye meeting kutakuwepo na wawakilishi toka serikali ya Tanzania wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Mh Bernard Membe na wanasheria kadhaa. Inawezekana hili ndilo limemfanya Mh Membe asiongozane na Rais Kikwete kwenye kongamano Afrika kusini? Ikumbukwe wale wabunge wetu waliokwenda London walishindwa kabisa kuishawishi serikali ya Uingereza kuilazimisha BAE Systems irudishe change kupitia serikali ya Tanzania.

  Kwa sababu hiyo, serikali ya Tanzania imetishia kuishtaki BAE Systems mwezi wa tisa mwaka huu kama change itakuwa bado haijarudishwa. Ushauri wa kuchukua hatua za kisheria ulitolewa na Naibu Spika Job Ndungai. Ndungai aimeishauri serikali kuchukua hatua za kisheria dhidi ya BAE Systems hata kama change hiyo itarudishwa kupitia NGOs za Kiingereza au hata zile za Kitanzania. Hata hivyo, tayari BAE Systems imeshaandaa list inayojulikana kama "like-minded British NGOs who, through their work, witness the devastating effects of corruption on developing countries every day" kupokea hiyo change.

  Akiongea na gazeti la The East African, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma, Mh Kabwe Zitto amesema kuwa hiyo change sio "reparation" bali ni "refund" ambayo ililipwa kununua bidhaa ambayo haukuwa "fit for purpose". Mh Zitto anasema change irudishwe kupitia bunge ili isaidie ku "promote transparency". Gazeti halikufafanua Zitto anataka change hiyo itumike ku "promote transparacy" kivipi na wapi. Kwa maneno mengine, Zitto anasema kuwa tunachorudishiwa hapa sio change bali ni pesa yote tuliyolipa kununua ile radar na kwamba pesa hiyo itumike ku "promote transparency".

  UPDATE: Majadiliano ya Kamati ya Bunge la Uingereza jana kuhusu malipo ya change: Credit to Mwanakijiji.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  promote transparency?

  mimi zitto huwa simuelewi, kwa katiba hii na serikali hii tunaweza ku promote transparency?
  kama tukiwa na serikali bora inayofuata nguvu ya umma na utawala wa sheria mengine yataingia
  humo by default. tuhache sana bana hii ni nchi ebo

  sometime this friend need to thinks twice, na nilini hii ni refund? kama kuna mtu anataka refund hakadai lakini hii sio refund. ni makubaliano ya BAE na SFO ili watu wa BAE wasichukuliwe hatua kwa hiyo ndio price yake.
  hisitoshe sio hapa tanzania peke yake ni zaidi ya nchi nne wanapewa hiyo pesa. kuna siku BAE watatushitaka kwa kuvunja sheria au kupotosha mambo
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu sijui kama gazeti limem-quote Mh Zitto out of context, lakini sijaelewa alivyosema kuwa hiyo change ni marejesho ya fedha tulizotumia kununua radar. Na suala la change kutumika ku promote transparency pia sijaelewa.
   
 4. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hope hakusema hivyo maana huo ni upupu mkuu, wakipewa hizo hela bungeni kwa ajili ya hayo badai yake ni bora wapewe serikali mara mia maana mambo mengi ya bunge spika akisema ni mwisho wa mjadala.
  ningemuelewa kama zitumika kutengeneza katiba mpya maana transparency bila reli hakuna matokeo ni muwasho tu
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nina tafakari maandiko haya kwanza kabla sijasema lolote .
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu alipohojiwa na gazeti hilo hilo mwanzoni mwa mwezi huu Mh Zitto alisema kuwa upinzani unapinga change kurudishwa kupitia NGOs za Uingereza zinazofannya shughulli zake hapa nchini. Alisema pia kuwa upinzani unapinga serikali kupewa hiyo change kwa vile itakuwa ni kuunga mkono kesi nyingine ya rushwa. Badala yake Mh Zitto alitaka change irudishwe kupitia bungeni na bunge ndilo litakalomua NGOs zipi za Kitanzania zigawiwe hiyo change. Sasa sijui upinzani umebadilisha mawazo na kuamua change itumike ku promote transparency?
   
 7. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  upinzania una nguvu gani ya hiyo hoja yake kutimia bungeni
  bunge na serikali ni kijiko na uma
  uma una kata kijiko kinasukumia mdomoni,
  hanatufanya wajinga ku support hoja ya serikali kimgongo mgongo

  i like ZITTO lakini simuelewi, sio mimi tu kuna siku tulikuwa sehemu ukaibuka mjadala kuhusu huyu bwana
  wengi walisema ana nguvu za kisiasa lakini anatumika au kujitumia vibaya

  ( i stand to be corrected)
   
 8. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi napendekeza hiyo pesa (50mill US Dollars) kama inatosha kununua mitambo ya umeme wa kiasi fulani, serikali ya Uingereza inunue hiyo mitambo na kuileta Tanzania badala ya kuleta pesa talismu. Umeme ungewanufaisha watanzania wote hata na wale ambao walisaini huu mkataba feki.

  Umeme sasa hivi ni issue kubwa Tanzania. Na nafikiri viongozi wa serikali pamoja na Tanesco wameshindwa kabisa kutafuta mbinu za kuondoa hili tatizo.
   
 9. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Kabwe ana mantiki katika hiyo kauli yake. Mtakumbuka kuwa ile pesa ya EPA waliyodai imerudishwa walisema imeingizwa kwenye mfuko wa pembejeo. Mpaka leo hakuna anayejua ni kiasi gani kilirudishwa na kama kweli ziliingia kwenye huo mfuko kwa sababu hazikuingizwa kwenye bajeti ya serikali. Kabwe anaposema zipitie Bungeni maana yake ni kuwa Bunge ndilo linaidhinisha Bajeti za Serikali. Hivyo hizo fedha ziingizwe kwenye Bajeti na ipelekwe Bungeni kupata idhini. Kufanya hivyo ndiyo ku-promote transparency. Siyo kwamba kuna seminar au kitu kama hicho kwa ajili ya ku-promote transparency kwa kutumia hiyo pesa kama wengine wanavyodhani.
   
 10. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu asante kwa ufafanuzi. Sina kipingamizi kuhusu matumizi ya change kuidhinishwa kwanza na bunge. Na kama alikuwa na maana kuwa matumizi ya change kuidhinishwa na bunge kutafanya kuwe na "transparaceny" juu ya matumizi yake, then hapa sina tatizo. Lakini tukumbuke serikali ndio itakayotoa pendekezo la matumizi ya change ili bunge liidhinishe. Kwa staili ya bunge letu la sasa serikali inaweza kuja na pendekezo uchwara na bunge likaidhinisha vile vile. Sidhani kama upinzani bungeni utaweza ku veto pendekezo la serikali juu ya matumizi ya change.
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Yaliyotokea London leo.

  The first and second panels examined the background to the agreement between BAE Systems and the Serious Fraud Office arising from the criminal offence of improper book keeping, which BAE Systems admitted in connection with the sale of a military Air Traffic Control system to the government of Tanzania. The panels also addressed the issue of how the people of Tanzania will benefit from the reparations that BAE Systems has agreed to pay. The third panel examined the BAE Systems and Tanzania case as well as whether the case allows any general lessons to be drawn about how best to combat financial crimes, including bribery, in developing countries.

  The session also went on to look at the working of the Bribery Act and the Government's guidance. The UK parliamentary committee which comprised of Malcom Bruce MP (Chair lib Dems ),Hugh Bailey MP (Labour )Richard Burden(Labour), Sam Gyimah (Conservatives),Richard Hamington Mp (Conservatives),Pauline Latham (conservatives) Jeremy Lefroy MP( conservatives) ,Michael Maccann MP(conservatives)Anas SarwarMP(Labour) ,Chris white MP ( conservatives) were appalled by the fact that the $47 million that BAE has been ordered to pay to the "Tanzanian people" will be dispersed via selected NGOs, rather than to the government of Tanzania and were also amazed at the length of time BAE is taking to reach a decision.

  The DFID was in the view that they have a great respect of the Tanzania parliamentary scrutiny procedures, a growing investigative journalism and government collective responsibility. DFID said that if Tanzania is good enough to account for the budgetary supplementary from the UK , then it must be good enough for the funds from BAE. Hon Alan Duncan, minister of state, DFID concluded by saying that the only people are good enough to handle this money are the people of Tanzania through their democratically elected government. The low side of this is that the parliamentary committee has no legal powers on BAE in terms of specific performance.
   
 12. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
 13. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ndiyo mwanzo na mwisho si parliamentary commitee ya uk wala ya tz yenye jeuri juu ya BAE
   
 14. doup

  doup JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  nashauri hiyo change ipunguze deni la taifa, juu kwa juu; haikuwa kwenye mahesabu yetu
   
 15. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  The British arms and aircraft firm BAE Systems has been severely criticised by a UK parliamentary inquiry into a corruption case surrounding an air-traffic-control deal with Tanzania.
  MPs accused BAE of unilaterally setting up a compensation arrangement for Tanzania that was a "complete sham".
  BAE admitted to not keeping full accounting records of £8m ($12m) it paid to an agent who brokered the deal.
  After a plea bargain, it was not found guilty of any wider corruption charges.
  The controversy relates to the supply in 1999 of an air-traffic radar control system.
  But it could also be a test case for campaigners who say bribery and corruption are a brake on economic development.
  In a plea bargain with the prosecuting authorities, the Serious Fraud Office, BAE agreed to pay £30m to the Tanzanian people.
  The £30m was effectively a compensation payment to Tanzania - because of the revelation of the embarrassing £8m payment and allegations that the military-style air-traffic system was unnecessarily complex and expensive.
  BAE and the Serious Fraud Office said they
  could not say if the £8m was used for bribery to seal the radar sale.
  A top BAE lawyer, Philip Bramwell, said the company sincerely apologised for events of the past - and he agreed it would not make payments similar to the £8m now.
  'Naive'MPs on the watchdog International Development Committee dismissed some of the company's positions as "waffle" and "dissembling".
  They repeated a judge's comments that it was "naive in the extreme" to think the £8m was used legitimately and that there was "a high probability" that the sum had been used in the negotiating process to "favour" the BAE bid to supply the radar.
  The MPs also asked BAE executives why none of the £30m had yet been paid.
  They questioned the right of the company to set up its own advisory board to decide on how the money should be spent - rather than give the money directly to the government of Tanzania, as a group of Tanzanian MPs had requested.
  Committee chairman Malcolm Bruce MP asked whether it was not "offensive" for the company to suggest it knew better how to spend the money than the government of Tanzania.
  With the Tanzanian government, British aid ministry the Department for International Development has drawn up a plan to spend the money on the
  Tanzanian education system - for desks, text books and teachers' accommodation.
  Mr Bruce advised BAE to hand the money over to this project "as soon as possible".
  The director of the Serious Fraud Office, Richard Alderman, who also appeared before the committee, said he was surprised the money had not yet been disbursed as promised by BAE.
  He undertook to write to the company to ask why not - and said there would be "consequences" if there were further delays.

  BBC NEWS

  maoni
  hii ya kupewa hela moja kwa moja naona serikali imeshinda, wameweka hoja ya elimu sasa tusubilie matokeo yake, lakini bado kuna swali gumu kama BAE walitoa £8m kama rushwa je ni nani alikula hiyo rushwa?
  serikali ikirudia tena kupotosha hii habari kwamba hii ni hela ya change na tunarudishiwa kwa sababu tulilipa zaidi itakuwa imetangaza wazi inawabeba wala rushwa kutoka na hii scene ya £8m ni wazi ndio sababu ya hiyo pesa tunayoita change kutudishwa.   
 18. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ......DFID has drawn up a plan to use the money in education sector!

  Is this DFID priority or the government of Tz?
   
 19. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  well jay k at work kuna mengi ya kuuliza na majibu hakuna
   
 20. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Jk anapenda ligi za chandimu, issue sio kuonekana wameshinda kwa hela kutokwenda kwenye charity organization, bali what as Tanzania get out of the so called change ya radar? And where is the Ty plan in getting the said desks, text books and teacher houses in the next 3yrs WITH ITS INDICATIVE BUDGET AND WHERE THEY ARE GOING TO GET THE MONEY.....Kama change haikuwepo?
   
Loading...