Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,928
- 5,615
Serikali ya Tanzania na Bunge kwa ujumla wamefanikiwa kuishawishi serikali ya Uingereza kuielekeza chenji ya rada hazina ya serikali ya TZ badala ya kuzipeleka kwenye NGO's ili kuwanufaisha wananchi moja kwa moja. Sababu zilizopelekea uamuzi huo ni:
Source: Ayub Mzee (Michuzi blog)
Habari kwa kina:MICHUZI: just in: TANZANIA WINS BAE PAYMENT ARGUMENT IN THE HOUSE OF COMMONS IN LONDON today
- Wana imani na uwezo wa bunge kuichunguza na kuidhibiti serikali
- Kukua kwa sekta ya habari ktk habari za uchunguzi
- Kuna uwajibikaji wa pamoja wa serikali
- Kama serikali inaweza ikadhibiti misaada ya bajeti inayopata kutoka uingereza, basi pia inaweza ikadhibiti matumizi ya pesa za rada.
Source: Ayub Mzee (Michuzi blog)
Habari kwa kina:MICHUZI: just in: TANZANIA WINS BAE PAYMENT ARGUMENT IN THE HOUSE OF COMMONS IN LONDON today