Change is what we need | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Change is what we need

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Darwin, Dec 13, 2009.

 1. D

  Darwin JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Watanzania wengi wanapiga kelele kila siku kuhusu Tanzania mwelekeo wake.
  Kwa maoni yangu tutapiga kelele kila kukicha kwenye JF lakini kama wengi wetu hapa hawatahakikisha kwamba kuna mabadiliko kisiasa nchini Tanzania itakua ni kama kumwaga unga kwenye upepo wa dharuba.

  Najua kwamba wako baadhi ya viongozi wazuri kwenye CCM lakini uchaguzi ujao tunatakiwa tuiondoshe CCM madarakani ili tupate mwelekeo mzuri wa taifa letu.

  Sina uhakika pia kwamba kuna viongozi wa upinzani watakaotuletea maendeleo haraka lakini kuwaweka wapinzani madarakani ndio nchi yetu itapata changamoto kwenye siasa na maendeleo.

  Wapinzani wakiwa madarakani watahakikisha kufanya vizuri serikalini ili wasiangushwe kwenye madaraka nakupoteza cheo chao.

  CCM kwa wakati huo ikiwa kama mpinzani ndio itakayotoa changamoto kubwa kwenye siasa kwani wanajua kila siri ya serikali waliyokua wanaikalia.

  Mwisho ni kwa kila mtanzania kwenda kupiga kura

  Wako watanzania wengi wanaosema niende nisiende kupiga kura lakini hali ya Tanzania itabaikia ile ile.

  Lazima tujue kwamba ushindi hata ni wa penalty lakini unajulikana kwamba ni ushindi.

  Utakaa nyumbani ukisema sitaenda kupiga kura lakini ukae ukumbuke kwamba ndio unatoa nafasi nyepesi kwa yule usiyemtaka.

  Inatakiwa tuige ule mfano wa Obama "Change is what we need"

  Jerry aka Grote Beer
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Door to door political campaign+serious opposition leader = everything is possible under the sun.
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  change of what?

  what changesyou need?
   
 4. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Change of any kind of everything, including you!
   
 5. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #5
  Dec 14, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  we Tumain,nimesoma sana mbembewe zako.unajifanya unajua sana,kutetea mafisadi,au wewe hela zako zinatoka uarabuni,kwa hiyo kwako watanzania wakifa na umaskini wewe hu maindi,au una mashemeji hapo ccm,wanakulisha na kuku chambisha.mbona una kuwa kama kiopofu vile,au wewe umeishia kukaa kule oysterbay,uanona kila kitu ni poa tu kama uko ulaya vile.usha wahi kufika kijijini uakona watoto wanavyo teseka na maisha badala ya kwenda shule?usha ona wakina mama wanatembea mpaka miguu imeota sugu kutafuta maji?au bado kwako kila kitu ni sawa tu ,kwa sababu hela zina mwagika tu kule barclays?next time think twice before you vomit your nonesence here.to hell with you mafisadis.
   
 6. D

  Darwin JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Niliandika KISWAHILI kinachoeleweka kwa kila mtanzania.

  Kama unataka nikuandikie English, German or Dutch ili uelewe nitafanya hivyo.

  Ushabiki wa wengine hapa unawafanya wawe kama watoto wadogo.
  When you ask them,You want to go bed? answer is NO, you want watch the movie? answer is NO. You want to stay with papa in the living room? answer is NO

  This is how I see your comment
   
Loading...