Changamoto zilizonikuta kabla na baada ya ndoa

Changamoto zilizonikuta kabla na baada ya ndoa

Hapo ndipo ninapowashangaa baadhi ya wanaume kwakupenda kujitafutia shida huwa mpo mstari wa mbele sana , sasa mtu mmoja wanawake wanne aiseeh endelea kuteseka tuu hakuna namna.
 
Wachumba huwa ni wengi ila mke ni mmoja. Usisite kuwa na wengi kisha ukachagua mmoja wa kuwa nae maishani. Uchumba sio ndoa... Kwa hisani ya Makinikia.
 
Hii sio movie ni maisha niliyoyapitia na wengi sana wanapitia katika hii Africa, maana ndo kwenye shida kama hizi. Mwanamke yuko radhi aue ili yeye aolewe.
Hivi unajisikiaje kuwa umeua kisa kuolewa? Wanaonishangaa ni wanawake ila matendo yao ni noma


Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom