Haipo mkuu....sasa hivi kuna mafia raha...mv kilindoni....amana na sherley....ni shida ndugu yangu mitihani kama maboti kuzima katikati ya bahari na kuanza kuingiza maji ni ya kawaida sanaMkuu umenikumbusha mbali Sana!kuna wakati nilikuwa nafanya mradi wa uvuvi wa jongoo bahari huko....mafia jibondo,ktk safari zote nilikuwa balaa tu yaani majini ni kashkash tu usafiri huko salama,boti zinajaza abiria kupitia kiasi,
Hapo nyamisati uaafiri shida jumlisha kungatwa na mbuu wa mabushaaa hapo shidaaaa...
Hivi boti inayoitwa MV potwe na jubini zipo bado....mleta mada???
Mm hizo shida nishakumbana nazo Sana Aise!kuna usiku tulinasa kwenye kifungu baharini basi tukawa tunasubili Maji yajae chombo kielee..ndani ya boti kulikuwa na watoto wadogo so kuliaaa...Haipo mkuu....sasa hivi kuna mafia raha...mv kilindoni....amana na sherley....ni shida ndugu yangu mitihani kama maboti kuzima katikati ya bahari na kuanza kuingiza maji ni ya kawaida sana
Kwanini hukupanda ndege?Dah mkuu kweli serikali iangalie usafiri huo,ni shida sana,Ukifika mafia hakuna gati unaingia kwenye maji unatembea mpaka nchi kavu. Umenikumbusha hiyo boat nilipanda tokea nyamisati pale. Nililala nyamisati tokea rangi tatu, ile guest house sitasahau halafu giza tupu umeme sijui hamna mji mzima sina hakika, ilibidi nisukumie kitanda mlangoni kwa usalama. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kupita hiyo njia kwenda mafia kwa ajili ya kutembea tu.
Huko hizo dhoruba mpk nikaja kuzoea maana nyamisati to mafia kilindoni,kilindoni nachukua boti tena navuka had I kisiwa cha jibondo...non stop dah yote kufata jongoo bahari....heheheheDah mkuu kweli serikali iangalie usafiri huo,ni shida sana,Ukifika mafia hakuna gati unaingia kwenye maji unatembea mpaka nchi kavu. Umenikumbusha hiyo boat nilipanda tokea nyamisati pale. Nililala nyamisati tokea rangi tatu, ile guest house sitasahau halafu giza tupu umeme sijui hamna mji mzima sina hakika, ilibidi nisukumie kitanda mlangoni kwa usalama. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kupita hiyo njia kwenda mafia kwa ajili ya kutembea tu.
Nilitaka adventure koz napenda hiyo style ya safari,nilitaka hata kufika cabo delgado Mozambique kwa njia ya ardhi via mtwara sema nikaambiwa hiyo njia mabomu mengi sana baafa ya kufika mtwara,mimi napenda adventure na suruba maana sio kama vile naenda honey moon. Nilirudi na tropical air na nililala mafia lodge wanapaita mtendeni kama sikosei.Kwanini hukupanda ndege?
Ahaa vizuri mkuuNilitaka adventure koz napenda hiyo style ya safari,nilitaka hata kufika cabo delgado Mozambique kwa njia ya ardhi via mtwara sema nikaambiwa hiyo njia mabomu mengi sana baafa ya kufika mtwara,mimi napenda adventure na suruba maana sio kama vile naenda honey moon. Nilirudi na tropical air na nililala mafia lodge wanapaita mtendeni kama sikosei.
Mkuu majongoo dili?mi sikuwa na biashara zaidi ya scuber diving, hivi kuna boti zinafika madagascar ama sychelles wanaita ushelisheli?Huko hizo dhoruba mpk nikaja kuzoea maana nyamisati to mafia kilindoni,kilindoni nachukua boti tena navuka had I kisiwa cha jibondo...non stop dah yote kufata jongoo bahari....hehehehe
Nimevua Sana jongoo aina ya pauni,barango,spinyoo,jongoo Maji etcMkuu majongoo dili?mi sikuwa na biashara zaidi ya scuber diving, hivi kuna boti zinafika madagascar ama sychelles wanaita ushelisheli?
Mkuu mm nilikuwa nasafirisha petrol!kuna siku nikasema nipande jahazi dah...ebwana jahazi hakuna nauli ila humo ndani ni kusaidiaana tu Mara kuyatoa Maji yanayoingia ndani ya jahazi!Nilitaka adventure koz napenda hiyo style ya safari,nilitaka hata kufika cabo delgado Mozambique kwa njia ya ardhi via mtwara sema nikaambiwa hiyo njia mabomu mengi sana baafa ya kufika mtwara,mimi napenda adventure na suruba maana sio kama vile naenda honey moon. Nilirudi na tropical air na nililala mafia lodge wanapaita mtendeni kama sikosei.
Yaani ndugu yangu ni hatar tupu......mi kuna siku bot ilizima katikati ya bahari na upepo mkari ikawa inaingiza maji.na water pump ikawa ime fail....ilitubid kutia nanga.baharini tulipigwa na mawimbi na kile kibot kinanesa paka kinachota maji kwa pembeni....kina mama vilio tuuu......serikali imeuchuna kimyaa wanasubir watu wazame ndio walete usafirRafiki yangu Niko RIP alifia njia hiyo mwaka 1998 ngalawa yao ilipigwa dhoruba. Mwili wake ulikuja kuonekana a week later ukiwa umeharibika vibaya na haukuwa mwili kamili bali mabaki, alizikwa Mafia
Wamejenga mkuu....limeanza kutumika wiki iliyopita....vile.viboti havipo tena pale mkuuMm hizo shida nishakumbana nazo Sana Aise!kuna usiku tulinasa kwenye kifungu baharini basi tukawa tunasubili Maji yajae chombo kielee..ndani ya boti kulikuwa na watoto wadogo so kuliaaa...
VP kilindoni washajenga gati?maana enzi zetu ukifika huko mnapanda tena viboti vidogo mpk nchi kavu...yaani lazima uyakanyage Maji ya bahari...
Mimi nishatumia vyombo vyote kwenda navyo mafia kuna usiku hiyo nlipanda jahazi kisiju to mafia so mchezoooo kama Una roho nyepesi utazimiaaa
UtendeNilitaka adventure koz napenda hiyo style ya safari,nilitaka hata kufika cabo delgado Mozambique kwa njia ya ardhi via mtwara sema nikaambiwa hiyo njia mabomu mengi sana baafa ya kufika mtwara,mimi napenda adventure na suruba maana sio kama vile naenda honey moon. Nilirudi na tropical air na nililala mafia lodge wanapaita mtendeni kama sikosei.