masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,378
- 19,267
si afadhali aombe kuliko kumkuta geto kwa mshkaji wanaangalia pamoja
alafu mkeo kajifunga kanga moja imeloa yaani alivyotoka bafuni direct kwenda kuomba movie
hapo ndipo utakaporudi kazini na kuchua machine gun ama short gun ama kirungu ama mikwara na kuitumia ipasavyo
halafu akiwa nyumbani dem wako hupenda kwenda kuomba movie za kibongo kwa jamaa, kibiriti na n.k
inabidi nimpeleke kwa Tony usiku huhohuo kesho yake namuita shemeji kiroho safii tu!Si afadhali kuomba muvi.......mtiti ni pale huyo mshikaji (Tony) mtanashati, muongeaji......alafu kila mkiwa na demu wako, kila mnachoongea au kuona, yeye ana refer kwa mshikaji...mnaangalia tv mnamuona Dudubaya..wife anakwambia Tony anamchukia huyu jamaa....balbu imeungua chumbani....unapiga hesabu ya kupanda ubadilishe..anakwambia Tony akisimama kwenye stuli anafikia...mnasikia harufu ya pombe...Tony huyo...jamaa ni mpiga maji wa kisirisiri....mnasikia mlango umebamizwa, wewe na wife mnashtuka...wife anakwambia...huo ni mlango wa Tony..mlango umevimba fremu inashindwa kutoshea..
Mungu wangu atapona mtu kweli hapo?
Ndo maana nimesema omba au naweza sema labda itokee tu sababu ni wachache sana^^
Hivi bado wapo kweli?
^^
duuuh yani wewe mkuu natamani kujua unafanya kazi gani. maana unajiwaziaga vitu vingi sana!
JICHO TAI maisha yangu naunga unga tu, bora mkono kinywani, leo fundi, kesho daktari, siku nyingine dereva nk nk, ila sijafikia hatua ya YAHAYA
^^
Hivi bado wapo kweli?
^^
Si afadhali kuomba muvi.......mtiti ni pale huyo mshikaji (Tony) mtanashati, muongeaji......alafu kila mkiwa na demu wako, kila mnachoongea au kuona, yeye ana refer kwa mshikaji...mnaangalia tv mnamuona Dudubaya..wife anakwambia Tony anamchukia huyu jamaa....balbu imeungua chumbani....unapiga hesabu ya kupanda ubadilishe..anakwambia Tony akisimama kwenye stuli anafikia...mnasikia harufu ya pombe...Tony huyo...jamaa ni mpiga maji wa kisirisiri....mnasikia mlango umebamizwa, wewe na wife mnashtuka...wife anakwambia...huo ni mlango wa Tony..mlango umevimba fremu inashindwa kutoshea..