Kuna jamaa mlinzi wa magari kitaani kwetu ila anakaa mta wa mbali siku moja nilienda kwake kuchukua hela yangu saa 1 usiku, wacha nigonge kama dk 10 niko mlangoni jamaa kutoka nikagundua tu ametoka kumnyenya mkewe. Nadhani wananyenya mapema then wanaenda kazini
Hapo sawathey tend to change...!
kama anaomba we ukiwepo unafikiri atashindwa kwenda kuangalia ukiwa haupo?si afadhali aombe kuliko kumkuta geto kwa mshkaji wanaangalia pamoja
Uko lindoni mvua inapiga mdogomdogo-mvua ya mahaba, kuna kibaridi kinapuliza na mamimo umemwacha peke yake home, chumba chenu kimoja kinapakana na chumba cha msela, anayejipenda mno na kupenda kuweka nyimbo laini usiku mzima, unamfikiria demu wako alivyo mpweke halafu na msela chumba cha pili na miziki yake laini...! Utawaza mengi
hizi stor zngine jaman tuziache hzo ndiyo husababisha wanaume kukimbia ndoa.... Hali ya maisha sasa hivi ya kuhangaika zaidi kuliko kukaa nyumban. Watu tunasafir tunawaacha wake zetu hata kwamda wa wiki moja. Sasa leo utatuletea ukweli kama huu wakat wanawake wenye wapo atention kwa kuvua vyupi mda wowote paspo kujali ni mke wa mtu akitaniwa kidogo tataka agongwe