Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,633
- 2,378
Habari zenu marafiki.Nina mpango wa kuagiza gari aina ya Nissa Serena toka Japani.Kutokana na uzoefu wenu naomba mnipe Changamoto za gari hii.Hiyo gari ina cc1990
Nimeona mada ya spea za nissan serena siyo changamotoIlishajadiliwa humu. Search.
Hata huo mwaka sawa tuMwaka upi? Me nina experience na 2012.