Changamoto za ndoa

Siamini kama hii ni story ya kweli maana imekaa kistory za facebook zile wale washauri wanatunga tu.
 
Hamnazo huyu,loh ndo nikute ni mke wa mtoto wangu sijui ntafanyaje🙆.

#mamamkwe
 
Siamini kama hii ni story ya kweli maana imekaa kistory za facebook zile wale washauri wanatunga tu.
Unaweza kuhisi hivyo ila watu wenye akili za huyo dada wapo wengi sana.
Utashangaa sana siku akiwa ni mkeo.
 
Mwambie uyo demu qmmmmmmmk. Yaani mwamba kamfanyia karma anayostahili.
 
Na huo ndio UANAUME.,,, hata kama Demu angekuwa na pesa nyingi,,, still alichofanya jamaa ndio kilitakiwa kufanyika....

The less fucck you give, the more fucck you receive... it's a rule..

Wanaume wote tukiwa hvo,, vifo vya stress vitapungua saaaana.
 
Tackling by haryy Maguire I think its a red card
 
Mwanaume hawezi kuwa na stress za mwanamke aliyemzalisha tayari, labda kama mkosaji awe ni mwanaume.
 
Wanawake wa kizazi kipya .hakika huu ni msiba mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…