Acha mambo ya ajabu. Kwani enzi za mababu zetu si ndio walikuwa wanafanya ty hivyo? Na ndoa zilidumu? Kwani hao wanaofanya maharusi ya mamilioni ndio ndoa zinadumu? Fikara za mtu kama ww ndio maana matalaka kila sehemu.
Kwa hio wazungu ambao wao hawatoi mahari kabisa hawana ndoa?Mababu zako kama walioa bila mahari bado sio ndoa hizo, sijaongelea harusi popote.
Mimi niligundua kama hivyo. Akaniaga anaenda kwao ila atarudi nilimpiga stop huko huko mpaka leo imebaki stori.Hapo hukua na mke na huyo wala siyo mkeo...
Pole sana na inasikitisha sana...
Ndo inakuaga hivyo. Unakakuta hata form four kalifeli afu kanajiona kanajua .Kuna kisa kimoja cha dogo mtaani, yy alioa mapema sana akiwa mdogo around 20yrs, 2015, alifanikiwa kupanga chumba na sebule kikiwa full yaani kila kitu.
Alimfumania mke wake mara mbili chumbani kwenye kitanda wanacho lala na mkewe, mara kwanza jamaa akamsamehe mkewe baada ya wazee kumsihi, mara ya pili ktk kitanda kilekile na jamaa yule yule akamfumania mkewe, jamaa akamwambia achagu chochote anachokitaka aondoke nacho. Demu akaamua kumkomoa kwa kuchukua kila kitu, yaani hakuuacha kitu.
Yule dogo akaanzia 0,akaenda kwa mjomba wake akamuomba mkeka,jamaa kalalia mkeka, baada ya mwezi akavuta kitanda na mpaka sasa kishanunua kila kitu na mwaka jana kaoa mke mwengine. Maisha yana endelea, yule binti baada ya mwaka mmoja akawa mtu wa starehe, mpaka kufikia hatua ya kujiuza maeneo ya Ubungo Riverside, sasa hivi ana mimba na mwenye mimba hajulikani basi yupo yupo tu.
Mkuu ndoa yataka moyo sanaMimi niligundua kama hivyo. Akaniaga anaenda kwao ila atarudi nilimpiga stop huko huko mpaka leo imebaki stori.
Usome kwa tabu
Kuishi kwa tabu
Tafuta pesa kwa tabu
Usumbuliwe na mpumbavu usiyejitambua nawe unamwangalia tu akija kukua akili itakaa sawa
Mkuu ukimpata aliyelelewa vizuri. Usiombe uoe aliyekuzwa kwa sherehe ngoma , vigodoro na taarabu . Afu kakulia uswahilini utajutaMkuu ndoa yataka moyo sana
Makosa gani yatakae mfanye aibe vitu vya mwenzie.......wana wake ni viumbe vya ajabu sanaaUkute Wewe ndo una makosa.
Huwezi jua Mkuu.Labda alimtegea tu aondoke ndipo aibe na kutimkia sehemu nyingine.Makosa gani yatakae mfanye aibe vitu vya mwenzie.......wana wake ni viumbe vya ajabu sanaa
Sio dharau, ila pia kuoa mwana mke masikini sana na kwao pia lina chagamoto, mwana mke anafikia hatua ya kuiba basikeli na solar panel kwa mmee sio dogoHuwezi jua Mkuu.Labda alimtegea tu aondoke ndipo aibe na kutimkia sehemu nyingine.
Kweli noma sana.Sio dharau, ila pia kuoa mwana mke masikini sana na kwao pia lina chagamoto, mwana mke anafikia hatua ya kuiba basikeli na solar panel kwa mmee sio dogo
Hahahhaa hapana tukio lilimkuta rafiki anguUlioa mwizi
Pole sana
Eeh huyo Rafiki alioa mwizi...Hahahhaa hapana tukio lilimkuta rafiki angu
Samahani..... hivi wewe ile ndoa yako ushafanikiwa kumove on?Duh pole ila elezea kwa urefu kidogo.
Ila ripoti kwa wazazi wenu..wadhamini wa ndoa..mjumbe au serikali za mtaa ..maana HUWA WANARUDIGI KUSUMBUA UKISHAMOVE ON.
Cha mwisho kama ni vitu vya kutafutika..unaweza vipata tena achana nae
I love you dearlyEeh huyo Rafiki alioa mwizi...
Nmekuelewa mwamba, samaki( Mimi) ana mengi ya kuongea ila mdomon ana maji! Asante kwa ushaur mzur ipo cku nitaleta MKASA wangu ulonikuta mwez wa 7 mwaka huu!!Kuna kisa kimoja cha dogo mtaani, yy alioa mapema sana akiwa mdogo around 20yrs, 2015, alifanikiwa kupanga chumba na sebule kikiwa full yaani kila kitu.