Changamoto za maisha

Changamoto za maisha

Ney maa

Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
95
Reaction score
34
Jamani ni hv, nina mpenzi wangu ambae anaishi maeneo ambayo wa2 wanapachukulia kama pabaya means social cervices hazipatikan ss marafiki ninaoish nao kila lililobaya wanaelekezea huko mara oh mimi kama mm siwezi ishi huko. Sio kwamb wananambia ila wanasema ktk story zao na mengine mengi ila nimevumilia ss mwaka wa pili naomba mnambie wana JF lengo la hawa marafiki kumcrash mpenzi wangu na maeneo anayoishi.
 
Anaishi wapi?...social service gani hizo hazipatikani?
 
Acha kujishtukia wewe!!
Wameanza hayo baada ya kujua una mpenzi huko au hata wewe ulikuwa ukipasema kabla hujawa na mpenzi huko?
Kama wamekukera kiasi hicho basi waambie unakereka sio wakisema unachekacheka huku moyoni unatamani kurusha ngumi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom